Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Mkuu Wap nimesema nampangia MunguUnampangia Mwenyezi Mungu? Toka lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Wap nimesema nampangia MunguUnampangia Mwenyezi Mungu? Toka lini?
Mbweni,ununio usiwasahauwatu wa ziwa tandale na ziwa kigogo bila kuwasahau watu wa ziwa jangwani nadhani mwaka huu mtaita maji mma , hameni nchi maana hakuna namna
Mbweni na ununio si ushuwani hukoMungu awatetee mnaokaa mabondeni
Mbweni ina asili ya maji maji kitambo, yalikuwaga mashambaMbweni na ununio si ushuwani huko
Mbona wamekoga maji
Ova
Nawe acha kumprovoke mwenzio.nonesense
Ukiacha wewe kwanza na mimi nitaacha huwezi tuendelee tuNawe acha kumprovoke mwenzio.
Haya bwana. Acha bifu hizo we dogo.Ukiacha wewe kwanza na mimi nitaacha huwezi tuendelee tu
Umewasahau wale wa Ziwa Tegeta,Kawe na Mabwepande.watu wa ziwa tandale na ziwa kigogo bila kuwasahau watu wa ziwa jangwani nadhani mwaka huu mtaita maji mma , hameni nchi maana hakuna namna
Morogoro mafurikoMorogoro vp lkn
Ova
Haya bwana. Acha bifu hizo we dogo.