Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

Iringa malolo Imepiga Ya mawee ina upepo mkalii sana Ukitoka njee Inakupiga mawe na ukikaa ndani maji yanataka kuzoa nyumba so inabidi Ulie tu..
Siku hizi naona suala la watu kulia sana imekua kawaida 😄😄
 
hapanaga mvua kubwa baada ya upepo.
Inaweza isinyeshe kabisa au ikanyesha rasharasha tu....
Sio mara zote mkuu,hii ya kwako huwa inatokea kama ilikuwa haijanyesha muda mrefu,lkn kama ilisimamam tu siku mbili inaweza ikanyesha kubwa na upepo wake...
 
Acha kuwacheka wenzako!! Nshakwambia ukiona upepo mkali, joto kali, mvua kubwa au hali ya hewa yeyote inayokufanya usiwe comfortable share location uje huku flow ya 19 uone jiji linavotepeta maji
Nikitoka kazini nahamia kwako😂😂sirudi nyumbani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…