Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

watu wa ziwa tandale na ziwa kigogo bila kuwasahau watu wa ziwa jangwani nadhani mwaka huu mtaita maji mma , hameni nchi maana hakuna namna
Mbweni,ununio usiwasahau

Ova
 
Dar ina majitu maoga oga sana, mvua gani imepiga leo.

Kaupepo kidogo tu tayari nyuzi kibao.
Hamjui upepo hukimbiza mvua, ni nadra sehemu ambapo upepo mkali umepiga kunyesha mvua kubwa, hata ikinyesha haizidi lisaa inakata.
Upepo husukuma mawingu.
Geography ya kitaa hii.
 
Yaani nmesoma comments nacheka tu. Kuna wajinga sana humu ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…