Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Kama ni figo hapana kaka ninazo zinagonga kazi ileile
Hahahaaa kwa hiyoo unakubali kabisaa kuwa leo wamatopeni lazima mlalee mapema kabisaa!
mkuu, basi tupia hapa sasa hivi kapicha ka dushe lako ili baadae tukompee before vs after!Kwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa nakojolea kupitia wapi.
Leo Yanga ndiyo mtajua kuwa Simba SC hatukuenda Zanzibar kupoteza muda na Kafara tulilolifanya na Uchawi tulioutumia leo huko Jangwani mtatafutana na kuna uwezekano hata mkauwana wenyewe kwa wenyewe pale Taifa kwa kipigo Kitakatifu, cha Mbwa mwizi na cha Kishalubela.
Wana Simba SC wenzangu nendeni Uwanjani mkiwa kifua mbele kabisa kwani mechi tumeshaimaliza na jana usiku hadi tunalala zilikuwa goli 3 ila tumeamka asubuhi hii wamepunguza Goli 1 tu na haya Magoli 2 yameshindikana na wamepewa Sharti kuwa wakitaka hayo yote 2 yafutike basi Viongozi wao wa juu mmoja wapo ajitoe Mhanga afe na wote wamechomoa ( wamekataa na kuogopa ).
Kuna Goli 2 Simba SC anashinda ila kuna Kadi Nyekundu 2 pia kwa Simba na kwa Yanga.
Yanga FC poleni sana na leo tutawaokota wengi sana pale Taifa kwa Kuzimia na tunategemea kupata taarifa nyingi tu kutoka sehemu mbalimbali kuwa Mashabiki wa Yanga wamepoteza maisha baada ya kupata Kichapo kutoka kwa Mnyama Mnyamani Simba Sports Club.
MabangiHivi umesema nini vile?
Yanga ikishinda mkuu nakuja kukuchumbia maan utakua sio mwanaume tena , litalofata ni kupumuliwa tuKwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa nakojolea kupitia wapi.
Leo Yanga ndiyo mtajua kuwa Simba SC hatukuenda Zanzibar kupoteza muda na Kafara tulilolifanya na Uchawi tulioutumia leo huko Jangwani mtatafutana na kuna uwezekano hata mkauwana wenyewe kwa wenyewe pale Taifa kwa kipigo Kitakatifu, cha Mbwa mwizi na cha Kishalubela.
Wana Simba SC wenzangu nendeni Uwanjani mkiwa kifua mbele kabisa kwani mechi tumeshaimaliza na jana usiku hadi tunalala zilikuwa goli 3 ila tumeamka asubuhi hii wamepunguza Goli 1 tu na haya Magoli 2 yameshindikana na wamepewa Sharti kuwa wakitaka hayo yote 2 yafutike basi Viongozi wao wa juu mmoja wapo ajitoe Mhanga afe na wote wamechomoa ( wamekataa na kuogopa ).
Kuna Goli 2 Simba SC anashinda ila kuna Kadi Nyekundu 2 pia kwa Simba na kwa Yanga.
Yanga FC poleni sana na leo tutawaokota wengi sana pale Taifa kwa Kuzimia na tunategemea kupata taarifa nyingi tu kutoka sehemu mbalimbali kuwa Mashabiki wa Yanga wamepoteza maisha baada ya kupata Kichapo kutoka kwa Mnyama Mnyamani Simba Sports Club.
Majani ya mmeaMabangi
Isijekuwa mbovuYanga akipona na mimi nagawa figo bure leo
Ameua sio kidogo bali kateketeza kabsaa, nawe umekuwa muungwana umenyoosha mikono juuHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha .... Mkuu umeua!
Figo=au tigoYanga akipona na mimi nagawa figo bure leo