Kwa wingu lililopo angani sasa na hii mvua inayokuja Yanga mkipona nitatekeleza hili!!

Kwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa nakojolea kupitia wapi.

Leo Yanga ndiyo mtajua kuwa Simba SC hatukuenda Zanzibar kupoteza muda na Kafara tulilolifanya na Uchawi tulioutumia leo huko Jangwani mtatafutana na kuna uwezekano hata mkauwana wenyewe kwa wenyewe pale Taifa kwa kipigo Kitakatifu, cha Mbwa mwizi na cha Kishalubela.

Wana Simba SC wenzangu nendeni Uwanjani mkiwa kifua mbele kabisa kwani mechi tumeshaimaliza na jana usiku hadi tunalala zilikuwa goli 3 ila tumeamka asubuhi hii wamepunguza Goli 1 tu na haya Magoli 2 yameshindikana na wamepewa Sharti kuwa wakitaka hayo yote 2 yafutike basi Viongozi wao wa juu mmoja wapo ajitoe Mhanga afe na wote wamechomoa ( wamekataa na kuogopa ).

Kuna Goli 2 Simba SC anashinda ila kuna Kadi Nyekundu 2 pia kwa Simba na kwa Yanga.

Yanga FC poleni sana na leo tutawaokota wengi sana pale Taifa kwa Kuzimia na tunategemea kupata taarifa nyingi tu kutoka sehemu mbalimbali kuwa Mashabiki wa Yanga wamepoteza maisha baada ya kupata Kichapo kutoka kwa Mnyama Mnyamani Simba Sports Club.
mkuu, basi tupia hapa sasa hivi kapicha ka dushe lako ili baadae tukompee before vs after!
 
Kwa taarifa nilizozipata za Kunyapia nyapia kwamba Mateja wotee wa Dar wakiwemo wa mikoan pia leo Taifa ni buuuree.. Wanashaur kufika kwa wingi kuwasapoti ndugu zao ,mabos wao Wauza donaa!!
 
TUNAKUSAMEHE MAPEMA JION WALA HUNA HAJA YA KUKATA KIKOJOLEO KUFUNGWA SIMBA LEO LAZIMA IWE MAWINGU IWE JUA HIZO NDOTO ZA MCHANA
maxresdefault.jpg
 
Kwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa nakojolea kupitia wapi.

Leo Yanga ndiyo mtajua kuwa Simba SC hatukuenda Zanzibar kupoteza muda na Kafara tulilolifanya na Uchawi tulioutumia leo huko Jangwani mtatafutana na kuna uwezekano hata mkauwana wenyewe kwa wenyewe pale Taifa kwa kipigo Kitakatifu, cha Mbwa mwizi na cha Kishalubela.

Wana Simba SC wenzangu nendeni Uwanjani mkiwa kifua mbele kabisa kwani mechi tumeshaimaliza na jana usiku hadi tunalala zilikuwa goli 3 ila tumeamka asubuhi hii wamepunguza Goli 1 tu na haya Magoli 2 yameshindikana na wamepewa Sharti kuwa wakitaka hayo yote 2 yafutike basi Viongozi wao wa juu mmoja wapo ajitoe Mhanga afe na wote wamechomoa ( wamekataa na kuogopa ).

Kuna Goli 2 Simba SC anashinda ila kuna Kadi Nyekundu 2 pia kwa Simba na kwa Yanga.

Yanga FC poleni sana na leo tutawaokota wengi sana pale Taifa kwa Kuzimia na tunategemea kupata taarifa nyingi tu kutoka sehemu mbalimbali kuwa Mashabiki wa Yanga wamepoteza maisha baada ya kupata Kichapo kutoka kwa Mnyama Mnyamani Simba Sports Club.
Yanga ikishinda mkuu nakuja kukuchumbia maan utakua sio mwanaume tena , litalofata ni kupumuliwa tu
 
Kuna mechi matone ya mvua yaligandishwa hewani, mpaka mechi ilipoishi
ndo mvua ikaanza kunyesha.
 
Yanga oyeee..daima mbele leo ushind kwetu wana jangwani,lazimaaa.
 
Back
Top Bottom