cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kama haujaandika hili naongezea
Uki overtake kabla ya kurudi, hakikisha unaona gari ulilo li overtake kwenye hicho kipo chako cha kati kuangalia nyuma
Yaani unaona gari hilo mbele na Barabara kidogo mbele yake
Hapo upo salama kwa umbali wewe kurudi kwenye Lane hiyo
Hili jambo asilimia kubwa sana wa Tanzania hata mjini hawajui kuendesha pia
Mengi umeyanena nami hili nimeongeza
Serikali inabidi ijiongoze kwenye kuelimisha kwa njia yoyote na kuwapa adhabu wakosefu kubwaaa, watu watakaa kuendesha magari etc
Waulize humu niwape mamboz kwa kuwa Jibu kama viongozi husika hawajui mambos