cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Sina,, natumia usafiri wa umma na ni matumaini yangu kuwa madereva wa umma wamesoma na watayafanyia kazi Yale waliyosomaUna gari lakin
Kuishia speed 100 ni ngumu SanaSio kusoma tu uyafanyie kazi. Umeambiwa usizidi 100km/hr
Wape ushauri vijana wenzio maanake wengi wako ubaoni baada yakupata degree miaka hadi mitano hawapati ajira. Wewe nikiangalia hapa kama ni ajira ni miaka 5 tu una nyumba,magari,umeoa na unapanda ndege tu.Hongera na Asante mwaka 2015 nilikuwa form four
Sasa nina degree
Nina magari
Nimeoa
Nina Nyumba
Na usafiri wangu mkuu Kwa safari za mbali ni ndege tu.
Nimependa ushauri wako Asante tena na tena.
Tupe mambo cocoKama haujaandika hili naongezea
Uki overtake kabla ya kurudi, hakikisha unaona gari ulilo li overtake kwenye hicho kipo chako cha kati kuangalia nyuma
Yaani unaona gari hilo mbele na Barabara kidogo mbele yake
Hapo upo salama kwa umbali wewe kurudi kwenye Lane hiyo
Hili jambo asilimia kubwa sana wa Tanzania hata mjini hawajui kuendesha pia
Mengi umeyanena nami hili nimeongeza
Serikali inabidi ijiongoze kwenye kuelimisha kwa njia yoyote na kuwapa adhabu wakosefu kubwaaa, watu watakaa kuendesha magari etc
Waulize humu niwape mamboz kwa kuwa Jibu kama viongozi husika hawajui mambos
Nitafanya hivyo mkuuWape ushauri vijana wenzio maanake wengi wako ubaoni baada yakupata degree miaka hadi mitano hawapati ajira. Wewe nikiangalia hapa kama ni ajira ni miaka 5 tu una nyumba,magari,umeoa na unapanda ndege tu.
Namba E nyingi highway zinakula mizinga 😹Content ya maana wabongo hawasomi.
Sasa ingieni vichwa vichwa road.
SahihiNa unapofanya safari ya mbali, ukiendesha taratibu sana kwa spidi ile ile utaita usingizi. Mwili una relax na sense ya kuwa alert inaisha. Kwa hiyo katika safari ya mbali upuka pia constant low speed kwa muda mrefu. Uwe unabadilisha pale inapowezekana kimbia, na isipowezekana nenda spidi ya kawaida. Unatakiwa uwe unapata regular injection ya adrenalin kuingia mwilini
Akikuelewa niite learnerWape ushauri vijana wenzio maanake wengi wako ubaoni baada yakupata degree miaka hadi mitano hawapati ajira. Wewe nikiangalia hapa kama ni ajira ni miaka 5 tu una nyumba,magari,umeoa na unapanda ndege tu.
......... Mwenye hela hasemi dogo, degree imeingiaje humu.Hongera na Asante mwaka 2015 nilikuwa form four
Sasa nina degree
Nina magari
Nimeoa
Nina Nyumba
Na usafiri wangu mkuu Kwa safari za mbali ni ndege tu.
Nimependa ushauri wako Asante tena na tena.