Kwa wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu la Mahusiano.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Baada ya kuwasikia Not Enough,Kokudo na Gbollin kama mdau wa jukwaa hili napendekeza wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu au wadau wa jukwaa hili wawe wamewakilisha madai yao kabla ya mwisho wa wiki hii ili wiki ijayo tuanze na mambo mapya na wenye madukuduku moyoni wawe wametatuliwa malalamiko yao.

Kwenye thread hii inaruhusiwa ku-chat,salimiana, na kutongozana.
 
tumekushutukia na wewe unataka utoke vipi,upate kuchangiwa thread ifike page ya 20,kwa kweli haitanoga sasa tumechacha naitisha mgomo :A S 13::wink2:
 
Ngoja nimtongoze WL ingawaje nimeonywa :A S 13:
 
tumekushutukia na wewe unataka utoke vipi,upate kuchangiwa thread ifike page ya 20,kwa kweli haitanoga sasa tumechacha naitisha mgomo :A S 13::wink2:

nahisi hii comment imekosea njia.
 
Raha nyingi kuliko malalamiko thijui nilalamike niniiii.... ngoja nifikirie
 
Anzeni basi...

Aisee mimi natafuta lady wa kumtongoza lakini akubali, kama anajijua atakataa asinambie, kama upo tayri ni PM!!! Vigezo na masharti kuzingatiwa....:wink2:
 
Back
Top Bottom