Kwa wote wenye malalamiko kuhusu jukwaa letu la Mahusiano.

Mi ngoja niwasalimie wote kwa maneno haya."Ingawa mavi hayana mwiba lakini ukiyakanyaga lazima uchechemee"
 
malalamiko yangu ni ile mtu ukisema jambo lako watu wanafikiri unadanganya....mnatufanya wengine tu we waoga au waongo,na hii inaharibu maana ya kuwa na forums ambayo ina theme ya WHERE WE DARE TO TALK OPENLY and not WHERE WE TALK TO IMPRESS OR GET SUPPORT FROM MEMBERS WHO WE DO NOT EVEN KNOW!
 
Mambo Michelle afadhali umekuja,mzima lakini ?
 
Nimejisikia kulia nimeona nije kulilia humu iiiiiiiiiiiiii aiiiiiiii aiiiiiiiiii. haya kwa heri
 
Umefikwa na nini ? umechezewa,mlivalishwa pete wengi,umefumania,umekuta sms ya ajabu kwa Mr tuambie malalamiko yote hapa na mwisho weekend.
 
Yani nawahakikishia tuzo ya mwaka tutapata!!....Alafu nawakilisha malalamiko yangu....kwanini Uporoto ulianzisha hii sredi?
Si kama hivo umelete lalamiko lako ? nami nataka kujua kwanini umenipotezea muda wangu ?
 
Hahahaha kwanini nimekuchezea?!Mwenyewe si ulinichezea mpaka MR akarudi!Alivyokutosa ukarudi tena...alafu nikakuamini!!
 
Umefikwa na nini ? umechezewa,mlivalishwa pete wengi,umefumania,umekuta sms ya ajabu kwa Mr tuambie malalamiko yote hapa na mwisho weekend.

Hajarudi simu hapokei nalia tena aaaiiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiiiiiiiii bye ntarudi tena badae kulia
 
Back
Top Bottom