Pre GE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katiba ya CCM imekataza Azimio kama hilo kwenye zoezi la kutafuta mgombea wa urais.

Wamelazimisha tu kwa sababu hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba.

isitoshe jamaa anaonekana hivyo kwa sababu hana limit how far he can go na hiyo ni tofauti kubwa na viongozi wengine ambao wanajua limit yao na ku let go, lkn pia type hizo ni self destructive na muda si mrefu itafikia ukomo …
 
Uwezo wako ni mdogo sana!

Jk kamuingiza mama mkenge kijanjja Kwa mara nyingine!!

Msikilize Kwa makini sana utanielewa!yaani kamsaidia kukiuka Taratibu za chama na kuwahisha mchakato Ili vita vya chini chini vianze rasmi ambavyo ndio hatari zaidi kuliko kampeni rasmi!

Alichofanya ni kumsaidia kukosea zaidi coz mama alionekana kubabaika kufanya kosa kwa kuwatumia chawa ndani ya mkutano!

Ndio maana jk akataka iwe rasmi Ili na kitengo kiwe rasmi mzigoni!!
 
Kwahiyo na wewe unaamini nchimbi ni mwiba kwa kikwete!?na swahiba wa lowasa!!?

KAZI ya system ni akili kubwa!kifupi nchimbi alipaswa kuwa makam tangu jpm alipofariki sema mama akasanuka!!

Sasa nchimbi amekaa nafasi aliyopaswa kuwepo kabla ikachelewa!!Sasa nchimbi ndiye!
 
Kirusi hai.
 
Isije kuwa laigwanani kafufuka kupitia mwili wa nchimbi msoga patageuka California.
 
Katika michezo ya aina hii, washindi ni kina nani na washindwa (losers) ni kina nani hasa?

Should we care? Or it’s none of our business.

Haitoshi kusifia watu kama vile tuko kufuatilia waraibu wa kamari wakifanya yao.
 
Haha kumbuka pia pale kwa waziri mkuu kuna watu walicheza kete zao....kiufupi kila upande unacheza karata zake.....hio nafasi kwa Nchimbi alipokua haina nguvu kama wale jamaa wakiingia kwenye lile chimbo alilokaa katelephone......kile cheo cha makamu wa waziri mkuu walikua wanapiga hodi tu,,,,, na hapo isije ikatokea yule jamaa wa Arusha kurudi kugombea lile jimbo la Kigamboni yanaenda kua mengine.......makamu wa rais hana nguvu kulinganisha na ule upande ukiweka waziri mkuu na lazima hio kete wale jamaa wataicheza.......ambae anatoka aliachiwa kutembea na mkasi tu kufanya uzinduzi....nafasi sio ilimradi nafasi kila mtu ana target kwake
 
Mama hajaingizwa mkenge ila anajua namna ya kucheza nao.....watu walikua wanacheki upepo tu,,,,,kumbukeni kuna ile nafasi ya katelephone bado.........kwenye ubunge ndo zinakuja sarakasi za kutosha
 
Huyu mzee mimi simuamini kabisa,nadhani anasumbua sana tawala zetu.
Huyo kete yake ilikua January na kundi lake na walishaliwa vichwa kwa sasa watu wamebakiza tu ile heshima kwa nafasi aliyoshikilia sema bado wana zile illusions kwamba bado kwenye chama wana nguvu,,,,wangekua na hio nguvu na kuheshimika wale jamaa wasingeliwa vichwa...........kwenye yale makundi kila upande una advantage yake, kuna ambao ni wazuri kwenye propaganda, kuna ambao wana machawa wengi.,,, kuna wale ambao ni wazee wa kazi hamna kelele nyingi...na hao wote wanahitajika ili October hapo uwepo ushindi , kwahio kwa sasa lazima mkuu acheze karata zake vizuri chama asikigawanye ndo maana kila mmoja anapoozwa kwa namna yake,,,kwa sasa watu wanaona kama Sukuma wamepigwa chini, wanasahau jamaa wanajivuniaga idadi yao nchini na hizo ni kura ,kwahio hata bila kupiga kelele hao jamaa lazima uwaweke mezani huwezi kuwatenga
 
Na sukuma gang hawafai kudharau maana watu wenye visasi ni hatari sana.Ila kumtegemea January ni ukosefu wa maarifa.Hata nguo huwa na brand.Sasa unamtegemeaje january?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…