RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Wengi Huwa wanajua nchimbi ni team lowasa kumbe team kitengo wa ku neutralize effect ya mpasuko kipindi kile!!Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wewe unadhani Nchimbi alikuwa timu Edo kutoka Moyoni? Mambo mengine mazito wewe kuelewa.
Kabisa Mkuu. Watu haelewi hayo, wamekaa na ushabikiWengi Huwa wanajua nchimbi ni team lowasa kumbe team kitengo wa ku neutralize effect ya mpasuko kipindi kile!!
Nchimbi ni kete ile!na ilitakiwa ikae pale badala ya Mpango basi tu mama akaiona akahepa mtego!
Ngoja nione!
Sio Ishu ya Ujanja. Ukiwa AGE GO kwenye maisha lazima ujifunze kukubali wakati wako umeisha na uwe tayari kukubali changes . Pia lazima utambue kuwa watu si wajinga ….. Kikwete bado anaamini ataendesha CCM kama alivyoendesha Nyerere….anapingana na wakati na alichofanya jana ni Uhaini and he is forcing people to accept his wishes then unajiaminisha wewe ni SMART …. Haipo hivyo!Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Muwe mnasoma katiba.Ile ya kumalizia kiporo Cha JPM haikua ya mama Kwa iyo ndo tunaanza fresh,kumi tena
Kwahiyo na wewe unaamini jk anataka samiah awe Raise wa 2025-2030!!?Sio Ishu ya Ujanja. Ukiwa AGE GO kwenye maisha lazima ujifunze kukubali wakati wako umeisha na uwe tayari kukubali changes . Pia lazima utambue kuwa watu si wajinga ….. Kikwete bado anaamini ataendesha CCM kama alivyoendesha Nyerere….anapingana na wakati na alichofanya jana ni Uhaini and he is forcing people to accept his wishes then unajiaminisha wewe ni SMART …. Haipo hivyo!
Samia alipaswa kushindanishwa kwa sababu alikuwa amemshikia JPM na wakati wa JPM ndio unaisha now . So katiba yao inataka atafutwe mGombea…. Kama Samia amefany vema , why aogope kuingia kwenye mchakato?
JK ajue vijana wameshamuweka kwenye angle…… wakati wake umeisha but still ana dictate terms over youth generation…….kwa hakika amefeli
Angalia Katiba ya CCM toleo la 2022 , ibara ya 100 (5) (c).
Mkuu ule wa jana ni MSUMARI. Ukisikia tuweke RASMI iyo imeenda, na mama nae akasema kamat ikafanye hiyo kaziKwahiyo na wewe unaamini jk anataka samiah awe Raise wa 2025-2030!!?
Ukiona CCM wanafanya vituko kama vile ujue wanamuingiza mtu kingi!!
Wamefanya kile anachotaka kusikia ili wafanye yao!
Kitendo hicho kina weza kuizaa upya Tanganyika prematurely.. Na ikawa mwisho wa muunganoIle ya kumalizia kiporo Cha JPM haikua ya mama Kwa iyo ndo tunaanza fresh,kumi tena
Subiri uone picha sasa!Mkuu ule wa jana ni MSUMARI. Ukisikia tuweke RASMI iyo imeenda, na mama nae akasema kamat ikafanye hiyo kazi
Alisha mkataa kuwa si kizazi chake, kipindi kile JK na Lowasa walipokodisha ndege kutoka Dar to Dodoma walipokuwa kwenye harakati za kugombea Urais. Aliwauliza pesa zote hizi mnazo tumia kwenye zoezi zima mmezitoa wapi?Kizazi alichokiandaa Nyerere, amebaki jk tu
Hawa ni wabishi kama timu moja ya mpira pale Kariakoo,"Haiishi mpaka iishe".Haha wanaficha aibu,,,,hao kete zao ilikua ni wale vijana wa wazuri hawafi ila kwa sasa lazima warukeruke waonyeshe pia na wao wamo........sahivi wanajipa moyo maana wameona kuna mwana mtandao mwenzao wa enzi hizo, ila wanasahau wao wenyewe walishaanza kucheza rafu na watu wanakumbuka kwahio watalipiza tu
Linasubiri watumbukiaji au siyo?🤣🤣🤣Patachimbika shimo refuuuu
Unanikumbusha ile ya kuomba msamaha kwa kupiga magoti baada ya udukuzi. Ama kweli Si-hasa=Si kweli🤣🤣🤣🤣Kwahiyo na wewe unaamini jk anataka samiah awe Raise wa 2025-2030!!?
Ukiona CCM wanafanya vituko kama vile ujue wanamuingiza mtu kingi!!
Wamefanya kile anachotaka kusikia ili wafanye yao!
Gonina ije corona 25
Lissu aende CHAUMAChadema bila kupewa Lissu hali itakuwa mbaya
Samia mitano tenaNilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
😀😀😀😀nenda weweLissu aende CHAUMA
biden aliachia bila nusu mlingoti!Labda litokee la 2021 na hilo limeeleweka ndo maana kete pia zimepangwa kivita......watu mnamu underestimate sana huyu mama