Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Baadae utasikia SA ni hatari sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ripoti ya Tume ya Haki Jinai ni changa la macho tu. Hakuna chochote tunachokiona.Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi kuhusu utekelezaji wa mikakati na mbinu iliyoibuliwa kwenye mipango hii.
Lakini kwa masuala haya yaliyotokea ndani ya Jeshi la polisi kwa mwaka 2023/ 24, ni kama vile Jeshi la Polisi linamkwamisha Rais Samia kwa makusudi.
Mifano michache hii hapa:-
1. Kutekwa kwa kijana Sativa na kutupwa mbuga ya Katavi
View attachment 3073811
2. Kushikiliwa kwa kijana Kombo wa Tanga kwa siku 29 bila mashtaka
View attachment 3073810
3. Kubakwa na kulawitiwa kwa binti wa Yombo na wanajeshi 5. Halafu RPC Mallya badala ya kupeleka Mahakamani yeye anadai binti alikuwa anajiuza
View attachment 3073806
Kama Rais Samia hatochukua mabadiliko dhidi ya Jeshi la Polisi basi ametumia fedha za walipa kodi vibaya.
Ni kweli tupu!! Polisi wamelewa madarakaReform inahitajika Polisi haraka. Aanze kwa ku reshuffle
[emoji7]Tuendelee kupiga buti mpaka wakae sawa
Inasikitisha sana...Liwati ni kosa kisheria katika Nchi hii hata kwa Consent lakini threesome ya MFF sidhani kama ni kosa.
huhitaji kuwa nabii au mtabiri tunakoelekea siko,fanyeni ujinga wenu weeee ila mchuma janga,,,,,,,,,,,?Naona RPC Theopista Mallya aliyehusika na kusema binti aliyebakwa alikuwa anajiuza,awshatumbiwa tayari. Asante kwa NGUVU YA SOCIAL MEDIA, JF ikiwa mojawapo
View attachment 3073901
Polisi wengi ni form 4 failures. Huo ubobezi ni mashaka.Hivi inawezekanaje RPC, ambaye tunaamini kuwa ni mbobezi wa taaluma ya sheria,
Na Camilius Wambura alikuja na masifa mengi kama Ex RCO wa Dar na kisha DCI. Kumbe ni mweupe tuKajisemea lissu tatizo ni.mfumo na sio polisi. Hata akienda malaika itabidi ageuke shetani na kufuata chain of command na SOPs.
Wakati mama anaingia na falsafa zake na uteuzi wake wa kamanda wambura nilijua kutakuwa na major reforms in the police force..yawezekana bajeti labda ndogo ya kuwezesha reforms
Kama mpaka sasa kuna mtu bado ana amini tuna jeshi la polisi na mpa pole sana …. Hawa ni mawakala wa kijani wwnye njaa na chuki iliyo ota miziziNi wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi kuhusu utekelezaji wa mikakati na mbinu iliyoibuliwa kwenye mipango hii.
Lakini kwa masuala haya yaliyotokea ndani ya Jeshi la polisi kwa mwaka 2023/ 24, ni kama vile Jeshi la Polisi linamkwamisha Rais Samia kwa makusudi.
Mifano michache hii hapa:-
1. Kutekwa kwa kijana Sativa na kutupwa mbuga ya Katavi
View attachment 3073811
2. Kushikiliwa kwa kijana Kombo wa Tanga kwa siku 29 bila mashtaka
View attachment 3073810
3. Kubakwa na kulawitiwa kwa binti wa Yombo na wanajeshi 5. Halafu RPC Mallya badala ya kupeleka Mahakamani yeye anadai binti alikuwa anajiuza
View attachment 3073806
Kama Rais Samia hatochukua mabadiliko dhidi ya Jeshi la Polisi basi ametumia fedha za walipa kodi vibaya.