Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

Ahsante Mkuu
 
Duh hadi Ruge
 
Waliomshambulia Lissu walikuwa watatu, mbona walishaga julikana ndugu.
 
Mkuu wa usalama wa Taifa anaweza kuisaidia mahakama kuwataja watu 4 waliofika KIA kuungana na Sabaya kwenye hiyo Operation... patamu hapo
 
Mkuu wa usalama wa Taifa anaweza kuisaidia mahakama kuwataja watu 4 waliofika KIA kuungana na Sabaya kwenye hiyo Operation... patamu hapo
Hatari hiyo Mkuu utafanya uzi ufutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…