Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

Tusipepese macho wala kujiuma uma.
Makonda alitumwa na Magufuli kumshambulia Lissu.

Polisi walikuwapo Dodoma na ndiyo waliohusika kutoa CCTV Cameras kwenye nyumba za mawaziri na wabunge pale Area D. Na hawakushika mtu hata mmoja kwa mashambulizi yale

Bado Serikali ni ya CCM iko madarakani ambayo Magufuli alikuwa ndiye Mwenyekiti wake na Rais na aliyetoa maagizo.

Ubalozi wa USA ulimsitishia Makonda kuingia nchini kwao kwa kuwa anatuhumiwa "kusitisha haki ya kuishi"ya Watanzania wengine.

Makonda anaweza kutosumbuliwa kwa kipindi hiki cha Rais Samia kwa sababu fulani.

LAKINI, Jinai haizeeki wala HAIFI, iko siku kutakuwa na Utawala wa Sheria au Chama cha upinzani kitaongoza Tanzania ndiyo utayaona mashtaka ya Makonda Mahakamani/Polisi kama unavyoyaona haya ya Sabaya
JamiiForums
Ahsante Mkuu
 
PAULO MAKONDA AU DAUDI MALYANGILI BASHITE NDIYO ALIKUWA KIHEREHERE WA KUJIWEKA KARIBU NA MKUU AKAUA NA KUTEKA WATU, MAREKANI WANAJUA SISI TANZANIA NDIO ZAIDI,NI MUDA, HUYU MPUMBAVU BASHITE ITAKUWA MBAYA SOON, HADI YA RUGE. WALIAMINI YULE NI MUNGU HIVYO WAKAWATENDA UOVU WANADAMU WENZAO KWA KUMFURAHISHA HERODE, ALIDHARAU NA KUTUNAKANA MAWAZIRI DR. MPANGO EXPERIENCED SAKATA LA MAKONTENA YA MAKONDA PALE DICD, LAKINI ILIKUWA HUWEZI KUDEAL NAE YULE MZEE WALIMWEKA KWENYE CHUPA
Duh hadi Ruge
 
Waliomshambulia Lissu walikuwa watatu, mbona walishaga julikana ndugu.
 
Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi kuwataja ambao alienda nao kufanya operation aliyopewa na Mamlaka ya uteuzi.

Anaenda mbali kusema operation hiyo baadhi ya watu waliifahamu, inawezekama lengo ni kuhakikisha operation inaenda salama bila kukatizwa hata kama wengine hawajui ni operation gani na mengi aliyoongea.
Mkuu wa usalama wa Taifa anaweza kuisaidia mahakama kuwataja watu 4 waliofika KIA kuungana na Sabaya kwenye hiyo Operation... patamu hapo
 
Mkuu wa usalama wa Taifa anaweza kuisaidia mahakama kuwataja watu 4 waliofika KIA kuungana na Sabaya kwenye hiyo Operation... patamu hapo
Hatari hiyo Mkuu utafanya uzi ufutwe
 
Back
Top Bottom