Tusipepese macho wala kujiuma uma.
Makonda alitumwa na Magufuli kumshambulia Lissu.
Polisi walikuwapo Dodoma na ndiyo waliohusika kutoa CCTV Cameras kwenye nyumba za mawaziri na wabunge pale Area D. Na hawakushika mtu hata mmoja kwa mashambulizi yale
Bado Serikali ni ya CCM iko madarakani ambayo Magufuli alikuwa ndiye Mwenyekiti wake na Rais na aliyetoa maagizo.
Ubalozi wa USA ulimsitishia Makonda kuingia nchini kwao kwa kuwa anatuhumiwa "kusitisha haki ya kuishi"ya Watanzania wengine.
Makonda anaweza kutosumbuliwa kwa kipindi hiki cha Rais Samia kwa sababu fulani.
LAKINI, Jinai haizeeki wala HAIFI, iko siku kutakuwa na Utawala wa Sheria au Chama cha upinzani kitaongoza Tanzania ndiyo utayaona mashtaka ya Makonda Mahakamani/Polisi kama unavyoyaona haya ya Sabaya
JamiiForums