Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anajihujumu mwenyewe hakuna anayemhujumu, ameendekeza udini na upembaNaaam
Swala la bandarini since mwezi wa 10 watu wamelia hata kama anahujumiwa hadi leo hajajua jinsi ya kuitatua hiyo hujuma, its almost 4 month
Hawez kuhujumiwa bila yeye mwenyewe kujua. She knows it , ww and of all people mnaosema anahujumiwa you should think twiceMgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Kiuno viunoMgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Nani aliwateua?Kabisaa,Kuna watu wanazingua makusudii.
Kawateua mwenyewe, anajihujumu mwenyewe, ndiyo maana hata halalamiki yeye anazunguka duniani, umewahi kuona hata siku moja ameenda bandarini?Hawez kuhujumiwa bila yeye mwenyewe kujua. She knows it , ww and of all people mnaosema anahujumiwa you should think twice
Na kuhamisha, huku bara amejaza wakurungezi na ma-DAS Wazanzibar tupu utadhani upo UgunjaHahaha!! Msitafute Chaka KIZIMKAZI akuna anacho kijua zaidi ya kutengua na kuteua TU.
Hivi huyu ni Rais anayefanya mazuri pekee?Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Ha hàaaa Imebidi nicheke unamchanganya mleta Uzi...JANABI kasema tuachane na sukari na tuogope juisiOkay huyo huyo Dr janaba, naomba maelezo yake kidogo kumuhusisha na hujuma, maana sijaelewa mkuu.
Sasa hilo linahusiana vipi na utawala? Kwani nchi ni biashara?Nifah umeshawahi kuwa hata na biashara yenye wafanyakazi zaidi ya watano?
Why atetewe?Kawateua mwenyewe, anajihujumu mwenyewe, ndiyo maana hata halalamiki yeye anazunguka duniani, umewahi kuona hata siku moja ameenda bandarini?
Basi huwezi elewa. Wewe endelea kufuatilia mambo ya udaku. Hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.Sasa hilo linahusiana vipi na utawala? Kwani nchi ni biashara?
Kwani alitengua tamko lake la kutafuna kwa urefu wa kamba?Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Ukiwa kwenye game ni ngumu kuona kama team inacheza ndivyo sivyo. Tulionje tunaona, lakini bahati mbaya serikali ni kama huwa haisikilizi maoni ya wananchiMgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.