Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Hawez kuhujumiwa bila yeye mwenyewe kujua. She knows it , ww and of all people mnaosema anahujumiwa you should think twice
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Kiuno viuno
 
Hivi huyu ni Rais anayefanya mazuri pekee?
 
Yeye,alifikiri wata chakalika asa wanazingua makusudii....Kuna nongwa nahisi watu wanautaka. Uongozi ni kazi Sanaa mzee! Hususani wakijua ni Mpole.
 
Watu saivi wanafanya kazi kichawa chawa,uhalisia sio kutimiza majukumu Yao kiusahihi. Haiwezekanii kwa upuuzi wa Hali ya Umeme,Maji na Sukari uliopo pasiwepo smart hujuma.
 
Kwenye swala la umeme kunayanayo endelea kuhujumu nchi .
 
Mkuu mbona umemtoa Dr janaba, au na wewe hukuwa uki mfahamu???? 😅😅Ume copy tu uzi sehemu na kuja kupaste humu????? 😂
 
Sasa hilo linahusiana vipi na utawala? Kwani nchi ni biashara?
Basi huwezi elewa. Wewe endelea kufuatilia mambo ya udaku. Hii mada ni kubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Kwani alitengua tamko lake la kutafuna kwa urefu wa kamba?

Labda ajichunguze mwenyewe, kwa sababu hakuna asichokifahamu, intel zote zipo mezani kwake na anayepaswa kuchukua hatua ni yeye. Angalia ripoti ya CAG iliyopita hakuna hatua iliyochukuliwa na soon inatoka ripoti nyingine ya CAG na mambo ni yale yale, sana sana watakaokosa mtetezi ndo watasulubiwa tena kwa uchache wao.

Tatizo la Tanzania ni kuwekwa pembeni kwa Utawala Bora na Utawala wa Sheria
 
Bibi chaudele pale tulipigwa za kichwa nyingi sana, hivi vingine vyote ni vizingishio tuu lakini uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo, huwezi kufunga injini ya murano kwenye scania alafu ukategemea kufikisha mzigo Kongo
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Ukiwa kwenye game ni ngumu kuona kama team inacheza ndivyo sivyo. Tulionje tunaona, lakini bahati mbaya serikali ni kama huwa haisikilizi maoni ya wananchi
 
Back
Top Bottom