Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Walitumbuliwa wangapi tanesco na hali ikabaki vile vile? Tatizo la umeme ni collective, sio mtu mmoja mmoja. Hiyo kauli ya mgao utakoma siku yoyote, ni kuwa hawana uhakika wa tatizo kuisha lini. Zile mwezi fulani ndio tatizo litaisha zikomeHadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko ππ
Hatua zimechukuliwa,Kuna mtu kalizwa kichwa huko Tanesco.
Pia Tanesco wametangaza kwamba siku yeyote kutoka Leo mgao utakoma.
Kuhusu Sukari Serikali Imetoa maelekezo kwamba wafanyabiashara waamua kuacha kuuza sukari au wauze Kwa bei iliyopo Ili Serikali ianze utaratibu Mpya.
Kula buku7 yako mkuu!!
Kazi za vyawa kusifia sifia kila kitu!Kwanini mema yake, maovu ya wasaidizi wake?
Bado hujasema Hadi usemeKula buku7 yako mkuu!!
Unfulfilled plans, we've always been good planners! Nitolee ujinga wako hapa.
Acha kuangushia watu matatizo ya mwingine!Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Huu ni utovu wa nidhamu.Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Timu inapoboronga anafukuzwa kocha. Samia kafeli kazi.Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Mkuu usitetee ujinga.Nifah umeshawahi kuwa hata na biashara yenye wafanyakazi zaidi ya watano?
Wewe mpumbavu elewa haya ni maoni na hakuna sehemu nimemuamrisha mama. Wewe ndo mhujumu namba moja. Unaona mambo hayako sawa halafu unanyamaza.Huu ni utovu wa nidhamu.
Kwa hiyo wew wa kumwambia mama kipi cha kufanya au? Tumuache mama apige kazi.
Ujinga gani sasaUnfulfilled plans, we've always been good planners! Nitolee ujinga wako hapa.
Hana mda endelea kuwa chawa wake mama NI mzee wa kuchoma mawingu habari za wananchi watajijuwa wenyeweMgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Siyo kuiba bali kupora. Hawana mbinu ya kuiba tena. Kilichobaki ni kutumia mtutu wa bunduki.Anahujumiwa wapi, ccm imeshafikia mwisho. Hilo tatizo la umeme ni kama haliwezekani. Mmeingizana mjini mmehongana bandari saa hii kinachoendelea hapo ni uozo kama wote. Muambie tu ajiandae kuiba kura maana ccm haina uwezo wa kushinda kihalali itakavyo tena nchi hii.
Katika uzwmbe wowote wa kulaumiwa ni rais, inaonywsha hafuatilii anasubiria taarifa ofisini.Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Kakalia tu hicho kiti sio jambo jepesi.Hakuna wa kumuhujumu huyo hana uwezo period
Na yeye ndo anateua hao watu, anahujumiwa vipi? π€£π€£π€£Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.
Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.
Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.
Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?
Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
NakaziaHakuna kauli inanikera kama hii, Rais anahujumiwa vipi?
Amiri Jeshi Mkuu wa nchi anahujumiwa? Yani kwamba kuna watu wana mamlaka juu ya Rais?
Haya ndio yale mambo ya βI wish I could be IGPβ Ni kutokana na Rais kutokutambua nafasi yake.
Kwa yanayoendelea Rais hawezi kukwepa lawama, watendaji wake wakishindwa kazi yeye ndio mwenye mamlaka.
Yule naibu waziri mkuu, na hivi vyeo sjui wanapeana peana vipi , amesema kwamba ni ngumu kusema mgao utaisha lini , na kumbuka pia huyu ni waziri wa nishatiHadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko ππ
Hatua zimechukuliwa,Kuna mtu kalizwa kichwa huko Tanesco.
Pia Tanesco wametangaza kwamba siku yeyote kutoka Leo mgao utakoma.
Kuhusu Sukari Serikali Imetoa maelekezo kwamba wafanyabiashara waamua kuacha kuuza sukari au wauze Kwa bei iliyopo Ili Serikali ianze utaratibu Mpya.
Mwananchi wameonba radhi walinukuu vibayaYule naibu waziri mkuu, na hivi vyeo sjui wanapeana peana vipi , amesema kwamba ni ngumu kusema mgao utaisha lini , na kumbuka pia huyu ni waziri wa nishati