Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

Hadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko 😁😁

Hatua zimechukuliwa,Kuna mtu kalizwa kichwa huko Tanesco.

Pia Tanesco wametangaza kwamba siku yeyote kutoka Leo mgao utakoma.

Kuhusu Sukari Serikali Imetoa maelekezo kwamba wafanyabiashara waamua kuacha kuuza sukari au wauze Kwa bei iliyopo Ili Serikali ianze utaratibu Mpya.
Walitumbuliwa wangapi tanesco na hali ikabaki vile vile? Tatizo la umeme ni collective, sio mtu mmoja mmoja. Hiyo kauli ya mgao utakoma siku yoyote, ni kuwa hawana uhakika wa tatizo kuisha lini. Zile mwezi fulani ndio tatizo litaisha zikome
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Acha kuangushia watu matatizo ya mwingine!
 
Hakuna hujuma, wameshindwa kuendesha nchi.
Wapishe wanaoweza.
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Huu ni utovu wa nidhamu.
Kwa hiyo wew wa kumwambia mama kipi cha kufanya au? Tumuache mama apige kazi.
 
Timu inapoboronga anafukuzwa kocha. Samia kafeli kazi.
 
Huu ni utovu wa nidhamu.
Kwa hiyo wew wa kumwambia mama kipi cha kufanya au? Tumuache mama apige kazi.
Wewe mpumbavu elewa haya ni maoni na hakuna sehemu nimemuamrisha mama. Wewe ndo mhujumu namba moja. Unaona mambo hayako sawa halafu unanyamaza.
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Hana mda endelea kuwa chawa wake mama NI mzee wa kuchoma mawingu habari za wananchi watajijuwa wenyewe
 
Anahujumiwa wapi, ccm imeshafikia mwisho. Hilo tatizo la umeme ni kama haliwezekani. Mmeingizana mjini mmehongana bandari saa hii kinachoendelea hapo ni uozo kama wote. Muambie tu ajiandae kuiba kura maana ccm haina uwezo wa kushinda kihalali itakavyo tena nchi hii.
Siyo kuiba bali kupora. Hawana mbinu ya kuiba tena. Kilichobaki ni kutumia mtutu wa bunduki.
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Katika uzwmbe wowote wa kulaumiwa ni rais, inaonywsha hafuatilii anasubiria taarifa ofisini.

Anasafiri kila siku atafuatilia lini?

Nyani Ngabu ametoka kuuliza manufaa ya safari zake
 
Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini.

Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi. Bandarini nako kuna shida. Mizigo inakaa muda mrefu haitoki.

Imefikia wakati hata Simba wa bahari Silent Ocean ukiwapigia simu wanakujibu tuombe tu Mungu mizigo itoke mapema kwa sababu hata wao hawajui itatoka lini. Kuhusu umeme sina haja hata ya kuandika ni madhara kiasi gani yanatokea.

Watendaji wanatupa ahadi hewa zinazokera sana. Kama Mama kashaidhinisha malipo ya matrilioni inashindikana nini suala la umeme kuisha?

Nimeandika kama mtu ninayependa sana uongozi wa Mama Samia na nisingependa kuona 2025 anashinda kwa shida. Ushindi wake unatakiwa uwe wa mapema tu. Haya mambo kutokea 2024 haijakaa vizuri kimkakati.
Na yeye ndo anateua hao watu, anahujumiwa vipi? 🤣🤣🤣

2025 kijani mtasema maneno yote
 
Hakuna kauli inanikera kama hii, Rais anahujumiwa vipi?
Amiri Jeshi Mkuu wa nchi anahujumiwa? Yani kwamba kuna watu wana mamlaka juu ya Rais?

Haya ndio yale mambo ya “I wish I could be IGP” Ni kutokana na Rais kutokutambua nafasi yake.

Kwa yanayoendelea Rais hawezi kukwepa lawama, watendaji wake wakishindwa kazi yeye ndio mwenye mamlaka.
Nakazia
 
Hadi Bando? Hakika hii ni Nchi ya malalamiko 😁😁

Hatua zimechukuliwa,Kuna mtu kalizwa kichwa huko Tanesco.

Pia Tanesco wametangaza kwamba siku yeyote kutoka Leo mgao utakoma.

Kuhusu Sukari Serikali Imetoa maelekezo kwamba wafanyabiashara waamua kuacha kuuza sukari au wauze Kwa bei iliyopo Ili Serikali ianze utaratibu Mpya.
Yule naibu waziri mkuu, na hivi vyeo sjui wanapeana peana vipi , amesema kwamba ni ngumu kusema mgao utaisha lini , na kumbuka pia huyu ni waziri wa nishati
 
Mwananchi wameonba radhi walinukuu vibaya
 
Back
Top Bottom