Kwa yanayoendelea, picha inaongea

Kwa yanayoendelea, picha inaongea

Kama wanavishwa Tshirt, kofia na suruali vitenge na vilemba kila baada ya miaka mitano unategemea watajitambua kweli?
Skuizi wameleta hadi boksa za rangi ya chama..🤣
 

Attachments

  • IMG-20240910-WA0004.jpg
    IMG-20240910-WA0004.jpg
    103.3 KB · Views: 2
Aisee hii dunia ni kama tunarudi nyuma.
Yaani kupost tu unaogopa je, wale Wazimbabwe na wale wa MSUMBIJI waluopigania uhuru wao kwa damu wangekuwa kama wewe si mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa.
Kwani ni lini Ulishawahi kuwa Huru na Kutotawaliwa?
 
Lucas Mwashambwa akiona hiyo picha atabubujikwa na machozi ya furaha huku akiwa amesahau kabisa kwamba huyo chui kesho na keshokutwa ataumwa na njaa Tena. Lakini pia anashindwa kujua kwamba analiye chini Ni ndugu yake wa damu.
 
Chui.PNG.png

Hii ni Laws of Nature na huyo Chui lazima ale, lakini kwa sisi Wanadamu Mtu anaweza kuua bila sababu.
 
Kwa hiyo Mr. Bean unadhani nini kifanyike ili kuepukana na hayo yote
 
Back
Top Bottom