Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani mtoa mada kuna mahali aliandika ya kwamba Watanzania wote wana mtazamo sawa juu ya hilo jambo?Nani kuzungumzia kuhusu kulazimishwa hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtoa mada kuna mahali aliandika ya kwamba Watanzania wote wana mtazamo sawa juu ya hilo jambo?Nani kuzungumzia kuhusu kulazimishwa hapa?
Skuizi wameleta hadi boksa za rangi ya chama..🤣Kama wanavishwa Tshirt, kofia na suruali vitenge na vilemba kila baada ya miaka mitano unategemea watajitambua kweli?
Kwani ni lini Ulishawahi kuwa Huru na Kutotawaliwa?Aisee hii dunia ni kama tunarudi nyuma.
Yaani kupost tu unaogopa je, wale Wazimbabwe na wale wa MSUMBIJI waluopigania uhuru wao kwa damu wangekuwa kama wewe si mpaka leo wangekuwa wanatawaliwa.
😀Skuizi wameleta hadi boksa za rangi ya chama..🤣
sure,