Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Aibu kubwa snBaada ya kutoka madarakani atakaa sebleni kwake huku akiandika kitabu kwamba aliwakosea sana watanzania, inabidi ifike kipindi iandikwe katiba mpya kwamba yoyote atakayefuja mali za nchi anyongwe.
Haina tofauti na UVCCMTISS inabidi tu nacho kisajiliwe kama Chama cha Siasa ili tujue moja.
Kabisa ni upuuziHaina tofauti na UVCCM
TISS imejaa makada tupuKabisa ni upuuzi
Aisee umewaza mbali mno. Kuna kila aina ya kweli kwenye hili. Mama anauza nchi. Na waarabu wana fedha ndefu sana. Itakuwa wameshamwaga fedha chafu.Hawa waliopo madarakani wanashindwa Mkuu, ndio maana haya yanatokea!
Fedha ya mwarabu ni ndefu mno. Hapa hakuna cha ukada. Ni fedha ya ndefu ya mwarabu inazungumza. Ndiyo maana waonapiga kelele wanapelekwa kuliwa na fisi ili wasiwaamshe waliolala.TISS imejaa makada tupu
Nchi ya hovyo sn hiiFedha ya mwarabu ni ndefu mno. Hapa hakuna cha ukada. Ni fedha ya ndefu ya mwarabu inazungumza. Ndiyo maana waonapiga kelele wanapelekwa kuliwa na fisi ili wasiwaamshe waliolala.
Sasa unasemaje, kwamba upo au haupo,maana wawekezaji tunaona wakiingia kila wakati, na ndege zao kubwa kubwa tunazionaNANI ANAFAHAMU KWA KINA UWEKEZAJA UNAOENDELEA HUKO ARUSHA AULETE HAPA, SIJEKUWA TUNAISHI KATIKA NDOTO ZA ALINACHA ZA KUHISI MAMBO YASIYOKUWEPO, WHO KNOW ACTUAL TRUTH, SIPENDI MAMBO YA NJOZI ZA MCHANA.
Kuwa na taarifa ni jambo moja....JWTZ, TISS watakuwa wana taarifa kama ni kweli.