Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

Hawa waliopo madarakani wanashindwa Mkuu, ndio maana haya yanatokea!
Aisee umewaza mbali mno. Kuna kila aina ya kweli kwenye hili. Mama anauza nchi. Na waarabu wana fedha ndefu sana. Itakuwa wameshamwaga fedha chafu.
 
NANI ANAFAHAMU KWA KINA UWEKEZAJA UNAOENDELEA HUKO ARUSHA AULETE HAPA, SIJEKUWA TUNAISHI KATIKA NDOTO ZA ALINACHA ZA KUHISI MAMBO YASIYOKUWEPO, WHO KNOW ACTUAL TRUTH, SIPENDI MAMBO YA NJOZI ZA MCHANA.
Sasa unasemaje, kwamba upo au haupo,maana wawekezaji tunaona wakiingia kila wakati, na ndege zao kubwa kubwa tunaziona
 
Back
Top Bottom