Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

Kwa yanayoendelea sasa Arusha, najiuliza, Makonda alipangiwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha kwa maslahi ya Taifa au ya wawekezaji toka Uarabuni?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni.

Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "Wawekezaji" hawa. Madege makubwa ya mizigo yameonekana kutua na kuruka toka sehemu za Arusha. Ninavyoelewa ni kwamba kanuni za usalama/ulinzi na TRA haziruhusu ndege kubwa toka nje kutua viwanja visivyo rasmi nchini, na zaidi ikiwa zinamilikiwa na jeshi au sekta binafsi toka nje.

Hili limefanya nijiulize sana. Je, inawezekana kwamba Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kusudi maalumu, na hili la kusaidia wananchi na kero zao, ni igizo tu la kufunika ukweli halisi?

Kufikiri kwangu kunatokana na ukweli kwamba kama kuna shughuli zinazoendelea Arusha ambazo "Serikali ya juu" isingependa ziwe wazi kwa wananchi, basi mkuu wa mkoa mwenye kuaminika kusimamia hili na kutunza siri lazima angeonwa kuwa Makonda na ile kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM labda ilikuwa ni njia tu ya kupitia kuelekea kumweka Arusha kwa sababu maalum, na ndio maana japo kulikuwa na pingamizi kali katika kumrudisha katika utumishi wa umma, msimamo uliwekwa kwamba lazima Makonda arudi.

Sasa je, kweli Makonda yupo Arusha kwa manufaa ya wananchi au ya "Wawekezaji" toka Uarabuni? Najiuliza tu, kwa sababu ninapenda ku-synthesize mambo.
 
Makonda yuko na Waarabu wa OBC hapo Loliondo kuzindua wakati wamefukuza watu?Amekwenda na Helikopita ( Private ) Mkuu wa Mkoa anakwenda je Kwenye miradi Hakuna diwani mwenye Taarifa na kinachofanyika, sasa hii miradi ambayo hakuna mtu anajua ni ya nini? au kuna kingine amekwenda chukua kwa OBC ?

Makonda baadaye anakwenda kwenye kambi la OBC , kikawaida Madiwani uwa wanajulisha safari za kiserikali za viongozi wa kisiasaHii Safari ni ya Makonda na OBC na Rubani wa Chopa akimsubiria kwa mbali kabisa . Toka lini safari inakuwa ya kificho hasa kwenda kwenye shirika linalotoa mpunga wa rushwa kila kukichwa Ndege kwenye picha inapita hapo wananchi wanaiona hivi karibuni imekuwa ikipita sana, hakuna anayejua nini kinaendeela lakini kuna mashaka sana na kinachoendelea hapo kambini kwa OBC kwenye Picha alikuwa ajafika kwenye kambi ili anakwenda baada ya hapa Makonda anapenda sana Media ili kuonyesha anafanya kazi mara kwa waarabu anakwenda kwa kificho Madiwani wako midomo wazi wanaona tu haya matukio bila kushirikishwa
1720180538164.jpeg
 
Uyu jamaa ni promoter mzuri ila sio kiongozi mzuri ...pale juu napo tuna ongozwa na mtu ambae ata aki amshwa usingizi a sign ,ana sign bila ata kusoma
 
Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni. Mara kadhaa Makonda ameonekana kushiriki kikamilifu katika shughuli wa "wawekezaji" hawa. Madege makubwa ya mizigo yameonekana kutua na kuruka toka sehemu za Arusha. Ninavyoelewa ni kwamba kanuni za usalama/ulizi na TRA haziruhusu ndege kubwa toka nje kutua viwanja visivyo rasmi nchini, na zaidi ikiwa zinamilikiwa na jeshi au sekta binafsi toka nje.

Hili limefanya nijiulize sana. Je inawezekana kwamba Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha kwa kusudi maalumu, na hili la kusaidia wananchi na kero zao, ni igizo tu la kufunika ukweli halisi? Kufikiri kwangu kunatokana na ukweli kwamba kama kuna shughuli zinazoendelea Arusha ambazo "serikali ya juu" isingependa ziwe wazi kwa wananchi, basi mkuu wa mkoa mwenye kuaminika kusimamia hili na kutunza siri lazima angeonwa kuwa Makonda. Na ile kuteuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM labda ilikuwa ni njia tu ya kupitia kuelekea kumweka Arusha kwa sababu maalum, na ndio maana japo kulikuwa na pingamizi kali katika kumrudisha katika utumishi wa uma, msimamo uliwekwa kwamba lazima Makonda arudi.

Sasa je, kweli Makonda yupo Arusha kwa manufaa ya wananchi au ya "wawekezaji" toka Uarabuni? Najiuliza tu, kwa sababu ninapenda ku-synthesize mambo.
Mpaka Sasa sijaona katika andiko lako, Tuhuma unazompa ?.

Makonda kafanya nn??
 
Makonda unamsingizia tu, hata hizo oppression anazozifanya kama mkulu wake akimwambia stop, hutosikia tena akijimwambafai

Hayo unayoyasema, Makonda ayapinge kwani hajipendi?
 
NANI ANAFAHAMU KWA KINA UWEKEZAJA UNAOENDELEA HUKO ARUSHA AULETE HAPA, SIJEKUWA TUNAISHI KATIKA NDOTO ZA ALINACHA ZA KUHISI MAMBO YASIYOKUWEPO, WHO KNOW ACTUAL TRUTH, SIPENDI MAMBO YA NJOZI ZA MCHANA.
 
Makonda unamsingizia tu, hata hizo oppression anazozifanya kama mkulu wake akimwambia stop, hutosikia tena akijimwambafai

Hayo unayoyasema, Makonda ayapinge kwani hajipendi?
Kweli kabisa. Lakini mie sijamsema Makonda. Soma kwa makini
 
Back
Top Bottom