mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimetukana matusi yoteNakubaliana Nawewe.
Ukiwa na Hasira za Kikurya unaweza mtia refa makofi
Kufuatilia mechi za wengine ni umbeaMwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
Mbona nyie mnafatilia mechi zetu?Kufuatilia mechi za wengine mi umbea
Wamekaidi wakataka kupigwa na benchi la waarabuHio penalty hadi aibu
Leo sie kesho nyiePoleni sana kwa kuonewa Utopolo
Yakitukuta tafadhali usisite kutupa pole mkuuLeo sie kesho nyie
Mimi nafuatilia JF hasa siasa. Ghafla ndo nakutana na post yako, hapo ndipo nilipojua kumbe kuna timu hizo zinacheza leoMbona nyie mnafatilia mechi zetu?
Wambea wakubwa
Tatizo unatazama mechi huku una kalkuleta. Mbona gemu ipo freshi tuMwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
Mwana utopolo punguza jazba andika kwa usahiiWamekaidi wakataka kuoigwa na benchi la waarabu
Mi nimepanda kitandani staki kupoteza muda kwa huo ujingaMwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
wewe yanga eeMwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu