Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

Penalty ni sahihi Kama wewe mpira unaufahamu vema.....labda walichozongua waarsbu ni ballboy kutupa mipira hovyo hovyo uwanjani hasa kipindi Cha pili...pia mazembe wanacheza kwa hisia zaidi kuliko maelekezo ya benchi la ufundi...
 
Yanga shindeni mechi zenu acheni kulialia na mechi zisizo wahusu
 
Back
Top Bottom