O octavier JF-Expert Member Joined Jun 24, 2024 Posts 234 Reaction score 249 Jan 11, 2025 #41 Penalty ni sahihi Kama wewe mpira unaufahamu vema.....labda walichozongua waarsbu ni ballboy kutupa mipira hovyo hovyo uwanjani hasa kipindi Cha pili...pia mazembe wanacheza kwa hisia zaidi kuliko maelekezo ya benchi la ufundi...
Penalty ni sahihi Kama wewe mpira unaufahamu vema.....labda walichozongua waarsbu ni ballboy kutupa mipira hovyo hovyo uwanjani hasa kipindi Cha pili...pia mazembe wanacheza kwa hisia zaidi kuliko maelekezo ya benchi la ufundi...
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Jan 11, 2025 #42 octavier said: Penalty ni sahihi..naomba nikupe tako Click to expand... Wimbi la mapunga linazidi kukua kwa kasi anyway situmii mkuu
octavier said: Penalty ni sahihi..naomba nikupe tako Click to expand... Wimbi la mapunga linazidi kukua kwa kasi anyway situmii mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 11, 2025 #43 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Jan 11, 2025 #44 Yanga shindeni mechi zenu acheni kulialia na mechi zisizo wahusu