Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

Hata kabla ya Magu kufariki alikuwa anatoa data gani za maana za kuitingisha selikali?

Mimi nilikuwa naona anatukana hovyo tu huku mashabiki wa chadema wakishangilia na kumpamba kwa maneno kwamba ndio mpiganaji wao.

Juzi kina Malisa na wenzake wapatao 800 akiwemo Lema na msigwa waliandaa kongamano huko clubhouse la kumjadili kigogo kwamba kwanini amawageuka! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hivi anawaita intarharamwe,

Yani kigogo wa leo ndio wa kutoa coments kama hizi! [emoji116]View attachment 1907725
SAFI SANA KIGOGO WAAMBIE UKWELI HAO LISSU NA MBOWE NJAA
 
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Si ni bora aliepo mahabusu kwa siku 35 kuliko alieko futi sita chini ya ardhi akiwa ni mifupa tu?
 
Ndio maana Mzee Ulimwengu kasema MiCCM iko milioni nane Ila Wana mawazo matatu tu😂😂😂eti Chadema haina mvuto wakati mnawapiga na kuwafunga daily..ije katiba mpya "usubuhi" MiCCM chaliii mbona hamtaki shwain nyie
 
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Anakupa hii
tapatalk_1520968859066.jpeg
 
Back
Top Bottom