Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Hapo ndipo fimbo ya Musa inapofanya kazi, Mungu huwa hakai na mnafiki, anamuacha afurukute mwisho anamchapa kidogo yeye huko anapotea.
 
Kule Mwanza wamezuiwa kwenda Ukerewe
 
Timu gaidi meno yote nje kwa furaha kwa sababu hao boda boda na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya kufukuzwa mjini
 
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.

Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).
Una uhanithu mdomoni maana uliyoyandika yanafaa kushingiliwa na inside wa kijani tu. Wewe una mvuto gani kavda wa kushushwa marinda tu.
 
Tulieni dawa iwaingie
 
Tulieni dawa iwaingie
Dawa iache kuwaingia nyinyi wagonjwa wa dola ituingie wazima. Ndiyo maana nimekuambia wewe ni wa kushushiwa marinda tu. Baada ya kuhifadhi ubongo Lumumba wamekosea kukurudishia ubongo wamekurudishia mavi.
 
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Magufuli ni mzoga ambao funza zimeushugulikia. Wewe siunajua kazi inaendelea, kwani nani anaikwamisha?

Sabaya weka ndani eehh?
Makonda mahakamani
Wasiojilikana uwa kimya kimya
Mkeka unakunjuliwa bila kikomo.

Hangaya wa Kisukuma jina linasumbua. Kavuliweni marinda ndicho mnachojua.

Umeme, maji miaka sitini? Siyo bure lazima sisi mataahira tukubali tunaongizwa na mataahira wenzeru
 
Hata Charles mbowe
 
Back
Top Bottom