Kwa zaidi ya miaka 60 Tanzania haijawahi kutenga bajeti ya TZS 985Bl kwa ajili ya Elimu wala kuisamehe HESLB TZS 1.1 Trl ni Rais Samia tu 2025

Jesusie

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
1,466
Reaction score
766
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA

IMG-20220721-WA0168.jpg
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo na chama kinaridhishwa sana.

Shaka aliyasema hayo (Leo) Alkhamis 21 Julai 2022 jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea maonyesho ya 17 ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

“*Maboresho makubwa yamefanywa katika sekta ya elimu, nimetembelea mabanda ya taasisi mbalimbali za elimu zinazoshiriki maonyesho haya, nimejionea na kusikia mambo makubwa ya maendeleo na kuona jinsi Rais Samia alivyopania kuleta mageuzi makubwa katika nyanja ya elimu” *•alisema.

Amefahamisha kuwa ongezeko la fedha kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na wizara nzima ya elimu, ni hatua muhimu iliyotengeneza mazingira rafiki kwa sekta ya elimu ambayo ndio inayotoa muelekeo wa Taifa katika kuandaa na kuzalisha rasilimali watu watakaokuja kusukuma mbele maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa nchini.

Kwa mujibu wa Shaka, awali kulikuwa na malalamiko mengi kuhusiasa na mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ambapo Chama kililazimka kukaa pamoja na Serikali (Bodi ya Mokopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu) (HESLB) ambapo kwa sasa kumekuwa na mabadiliko makubwa na hali imeimarika.

Rais Samia amefanya kazi kubwa katika sekta ya elimu katika kipindi kifupi, moja ya jambo ambalo halizungumzwi sana ni namna alivyosamehe deni la sh. trilioni 1.1 ambalo lilikuwa halilipiki kwa bodi hii ya mikopo, hatua ambayo imefungua fursa kwa wanufaika kuwa na uhakika wa kupanuka wigo wa kupatikana fedha na ndio maana pia Rais, akaongeza fedha kwa bodi ya mikopo nchini kutoka sh 464 bilioni za awali hadi sh 570 bilioni” alisema.

Amefafanua katika hatua ya kupigiwa mfano ni jinsi Rais Samia alivyoamua kutafuna mfupi mgumu ili kuimarisha sekta ya elimu nchini kwa kutenga bajeti ya sh. bilioni 985 mwaka wa fedha 2022/2023 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya vikuu, kuwapatia mafunzo ya taaluma wahadhiri na kununua vitendea kazi itazidi kutengeneza mazingira mazuri kufundisha na kujifunzia hatua ambayo italeta mageuzi makubwa nchini.

Kwa mujibu wa shaka, juhudi hizo zote zinachukuliwa ni kwa ajili ya kuhakikisha rasilimali watu inayozalishwa ktika taasisi za elimu inakuwa imara na yenye kukidhi mahitaji ya wakati.

Azma na utayari wa Rais Samia kuibeba sekta ya elimu sote tumekuwa mashuhuda, anaendelea vizuri sana, tunaamini uboreshaji huu utaendelea ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ibara 80 na 102 kuhusu kuimarisha utoaji wa huduma zenye ubora, viwango, manufaa na tija kwa taifa katika sekta ya elimu” aliongezea Shaka.

Awali Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), alisema wanaishukuru serikali ya CCM kwa kuendelea kuitazama kwa karibu sekta ya elimu nchini.

Alisema katika kipindi cha mwaka mmoja madarakani, uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia katika elimu, umechochea ongezeko la wanafunzi wanaodahiliwa kwa ajili ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 8,7934 hadi 100,620.
 
Haters watakuambia wewe ni Chawa 😂😂..

Sio tuu bajeti ya mdomo bali bajeti ya vitendo kuna madarsa zaidi ya 12,00/ yatajengwa ,mabweni zaidi ya 200, shule mpya, Kampasi mpya, VETA zaidi ya 30 nk nk nk
 
Haters watakuambia wewe ni Chawa [emoji23][emoji23]..

Sio tuu bajeti ya mdomo bali bajeti ya vitendo..kuna madarsa zaidi ya 12,00/ yatajengwa ,mabweni zaidi ya 200,shule mpya,Kampasi mpya ,veta zaidi ya 30 nk nk nk
Hivi unajua bajeti ya Tz utekerezaji wake haujawahi vuka 60% au una ropoka tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila elimu itolewayo haiendani na nyakati za sasa
 
Hivi unajua bajeti ya Tz utekerezaji wake haujawahi vuka 60% au una ropoka tu.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe jamaa bwana, usikariri maisha kwa ujinga wako..

Rais Samia ametekeleza bajeti kwa 95%, hii ni rekodi juu ya rekodi kama alivyofanya kwenye makusanyo..

Kinachotekeleza bajeti ni pesa sio maneno na Rais Samia.
 
Wanajua kijisifu waulize sasa maendeleo wanayoleta kwa taifa. Wanapoteana poteana. Leo miaka 60 shule tuu madawati ni shida. Vitendea kazi muhimu bado shida
 
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu...
Mengine unaweza kuwa sawa isipokuwa heading yako. Siyo kweli kawazidi wote. Uchangiaji elimu ya juu umeanza 1994. Nyuma ya hapo elimu ilitolewa bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Na hata kwenye shule za sekondari na vyuo, wanafunzi walisafiri bure kwenda shule/vyuo.
 
Hiyo imeelezwa wapi?
 
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu...
Wahitimu wakishamaliza kozi zao wanatakiwa kujiajiri, kila la kheri.
 
Wewe jamaa bwana,usikariri maisha kwa ujinga wako..

Rais Samia ametekeleza bajeti kwa 95%,hii ni rekodi juu ya rekodi kama alivyofanya kwenye makusanyo..

Kinachotekeleza bajeti ni pesa sio maneno na Rais Samia kwenye hili kawasidi woote wenye kende zao.
Mwaka upi wa bajeti katekeleza bajeti kwa 95% naomba ripoti hizo za bajeti tuzione.
 
Shida ya watanzania,tumejaa unafiki na kujipendekeza kwingi ili kupewa asali, hakuna bajeti iliyowahi kutekelezwa hata kwa zaidi ya 80% ktk nchi hii, nadhani msifiaji ana lake jambo tu.
 
Mwaka upi wa bajeti katekeleza bajeti kwa 95% naomba ripoti hizo za bajeti tuzione.
Shida ya watanzania,tumejaa unafiki na kujipendekeza kwingi ili kupewa asali, hakuna bajeti iliyowahi kutekelezwa hata kwa zaidi ya 80% ktk nchi hii, nadhani msifiaji ana lake jambo.
 
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, unaendelea kutoa matunda mazuri katika sekta hiyo na chama kinaridhishwa sana.

Shaka aliyasema hayo (Leo) Alkhamis 21 Julai 2022 jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea maonyesho ya 17 ya vyuo vikuu yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

“*Maboresho makubwa yamefanywa katika sekta ya elimu, nimetembelea mabanda ya taasisi mbalimbali za elimu zinazoshiriki maonyesho haya, nimejionea na kusikia mambo makubwa ya maendeleo na kuona jinsi Rais Samia alivyopania kuleta mageuzi makubwa katika nyanja ya elimu” *•alisema.

Amefahamisha kuwa ongezeko la fedha kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu pamoja na wizara nzima ya elimu, ni hatua muhimu iliyotengeneza mazingira rafiki kwa sekta ya elimu ambayo ndio inayotoa muelekeo wa Taifa katika kuandaa na kuzalisha rasilimali watu watakaokuja kusukuma mbele maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa nchini.

Kwa mujibu wa Shaka, awali kulikuwa na malalamiko mengi kuhusiasa na mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu ambapo Chama kililazimka kukaa pamoja na Serikali (Bodi ya Mokopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu) (HESLB) ambapo kwa sasa kumekuwa na mabadiliko makubwa na hali imeimarika.

Rais Samia amefanya kazi kubwa katika sekta ya elimu katika kipindi kifupi, moja ya jambo ambalo halizungumzwi sana ni namna alivyosamehe deni la sh. trilioni 1.1 ambalo lilikuwa halilipiki kwa bodi hii ya mikopo, hatua ambayo imefungua fursa kwa wanufaika kuwa na uhakika wa kupanuka wigo wa kupatikana fedha na ndio maana pia Rais, akaongeza fedha kwa bodi ya mikopo nchini kutoka sh 464 bilioni za awali hadi sh 570 bilioni” alisema.

Amefafanua katika hatua ya kupigiwa mfano ni jinsi Rais Samia alivyoamua kutafuna mfupi mgumu ili kuimarisha sekta ya elimu nchini kwa kutenga bajeti ya sh. bilioni 985 mwaka wa fedha 2022/2023 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya vikuu, kuwapatia mafunzo ya taaluma wahadhiri na kununua vitendea kazi itazidi kutengeneza mazingira mazuri kufundisha na kujifunzia hatua ambayo italeta mageuzi makubwa nchini.

Kwa mujibu wa shaka, juhudi hizo zote zinachukuliwa ni kwa ajili ya kuhakikisha rasilimali watu inayozalishwa ktika taasisi za elimu inakuwa imara na yenye kukidhi mahitaji ya wakati.

Azma na utayari wa Rais Samia kuibeba sekta ya elimu sote tumekuwa mashuhuda, anaendelea vizuri sana, tunaamini uboreshaji huu utaendelea ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ibara 80 na 102 kuhusu kuimarisha utoaji wa huduma zenye ubora, viwango, manufaa na tija kwa taifa katika sekta ya elimu” aliongezea Shaka.

Awali Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), alisema wanaishukuru serikali ya CCM kwa kuendelea kuitazama kwa karibu sekta ya elimu nchini.

Alisema katika kipindi cha mwaka mmoja madarakani, uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia katika elimu, umechochea ongezeko la wanafunzi wanaodahiliwa kwa ajili ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 8,7934 hadi 100,620.
Hii comparison lazima iendane na wakati.

Msitake kuanza kulinganisha Samia na Nyerere, Samia na Mwinyi, Samia na Mkapa, Samia na Kikwete wala Samia na Mafuguli. Hawezi wakalinganishwa kwa kila kitu. Yeye alinganishwe na wakati ulipo na uharisia.

Hata hiyo bajeti haitoshi kwa wanafunzi, apambane amalize kabisa.
 
Upuuzi unafikiri idadi ya wanafunzi ni ile ya miaka ya 60? Au thamani ya shilling ni ile ile?
 
Sifa za kijinga! Kuna pesa kibao HESLB zilipigwa na watu binafsi na wakaachiwa kwenda na pesa hizo. Vyuo sasa hivi vina wanafunzi rundo ukilinganisha na miaka hiyo unayomlinganisha Samia. Pamoja na hayo performance ya HESLB ni hovyo tu! Mtu hana uwezo anapesa mkopo wa elfu 20 akasome! Halafu rais anajivuna eti wote wamepewa mikopo.
 
Back
Top Bottom