Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Nyingi mno tena +18yrs kwenye majiji ndiyo changamoto!
 
Sababu ni hizi

☆ Tamthilia za kimapenzi zinachoche watoto wa kike kuanza kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umwili mdogo.

☆ Miziki ya kizazi kipya hii ya kinazuchu😁 na nyingine kibao unakuta mziki unascene za chumbani chumbani unafiki mtoto wa kike akiona atashindwa kutamani?

☆ Social media kama fb, IG na tiktok hii pia ni njia moja wapo ya vitoto kutolewa bikra vikiwa bado vidogo sana. Kwa mfano maudhui ya kingono katika mtandao wafb nowdays ni huge sana, ukija tiktok sasa ndo hatari wanatumia vifaa vya wazazi wao au dada zao kucheki vitu hivyo

☆Sherehe mbalimbali ambazo wazazi huenda na watoto wao kwenye shrehe huko watoto hasa wa kike wanakopy mambo ambayo yatahatrisha bikra zao au kutolewa kabisa .

☆ mashangazi na madada wanachangia pia watoto wadogo kujihusisha na ngono wakiwa bado wadogo, unakuta mshangazi au mdada anaongea na simu chumbani na watoto wakiwepo tena maongezi ya kingono kweli ?

☆ Jamii inayomzunguka (maeneo) pia hii hachangia bikra nyingi kutolewa mapema tu kwa mfano bikra ya mtoto wa uswahilini makadirio hutolewa 13 umri na kuendelea.

☆ Wafanya biashara za chips hawa watu wametoa bikra za watoto wengi sana hasa mijini kwaio mzazi usipende kumuagiza mtoto wa kike maeneo hayo kama ni chips ukaangie home hapohapo kwa usalama wa bikra yake.

☆ vyuoni huku nako bikra nyingi za watoto wakishua zinapotolewa maana mtoto anakuwa huru kujiachia tu na jinsia tofauti.

☆ Huko makanisani sijui kufabya mazoezi ya kuimba kwaya😁 pia bikra nyingi zinatolewa huko na hao wanaowafundisha kuimba au kucheza kwaya kanisani .
☆ Wauza urembo wakutembeza( machinga) pia hawa wanachangia pakubwa kuteketeza bikra za watoto wa watu wanaanza mazoea na wasichana wadogo mwisho wa siku wanawatongoza kisha kufanaya nao ngono.
☆ Bodaboda nikuwa nao makini sana wanamchango mkubwa kuharibu vitotl vya shule kuvitolea bikra zao vikiwa bado vidogo.

Kupata bikra ni nadra sana siku izi kutokana na sababu chache hapo juu zipo nyingi ila tuishie hapo kwa leo.
POle sana
 
Back
Top Bottom