Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Kuna story ilinisikitisha, mdada mmoja aliolewa akakaa ndani ya ndoa kama miezi sita tu mme akaenda nje ya nchi akatokomea miaka ndoa ikawa imejifia.

Baadae mwanaume anasema "yule mwanamke lazma ana matatizo mtu gani bikra hadi anamuoa miaka 30" 🤦
Ni sahihi sio uongo, miaka 30 ana bikra kivipi kama sio matatizo hayo
 
Back
Top Bottom