Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Mkuu bikira zipo sana tu,Jana nimetoa Moja binti wa miaka 27.

Mwenyewe pia sikuamini,
 
Zipo hadi chuo mzee ,kuna moja niliivunja baharini juzi tu hapa maeneo ya kigamboni beach 🤣🤣🤣🤣

Ilibidi nikaombe futa chap kwa Beach boy🤣🤣
 
wapo wengi tu, inategemeana na unakochezaga, sema huwezi kukuta mwanamke pisi kali na mwenye nyash akiwa bikira zama hizi, ila wanawake wenye uzuri wa kawaida bikira zipo nyingi
 
Niwe na bikra hadi sasa, kwamba nmekosa soko kiasi iko🤒
 
ila jaman Kuna watu wazima wanajitunza jaman!! Kuna huyo around 49 hiv mpka 50, aisee yule mmama alijitunza!

Full mashavu
Bottle neck
Kashepu kazur

Yaani huwezi ikuta hata kwa 23 to 27
 
Mimi ni mzinzi ila sijawafikia wengi wa humu jf duh
 
Mambo ya bikra yanawasumbua sana jinsia ya "ME" lakini jinsia ya KE ambao ndio wamiliki sio jambo linalowahangaisha.
Saikolojia ya mwanaume na mwanamke na tofauti. Matamanio ya mwanamke ni kwa mwanaume mwenye hadhi kubwa. Huyo mwanaume hata awe mtombaji holela, lakini kama ni mwanaume mwenye hadhi kubwa basi mwanamke hajali sana.

Ni tofauti kwa mwanaume yeye anataka mwanamke ambaye bado hajaguswa na wanaume wengine. Huyo mwanamke hata awe masikini au hajasoma kwa mwanaume iyo sio ishu sana.

Kwaiyo unatakiwa Kujua preference za mwanaume na mwanamke ni tofauti. Mwanamke anathamini status, mwanaume anathamini purity
 
Back
Top Bottom