Kwa zama hizi kupata msichana bikra ni kubahatisha

Kina Aisha (vitoto vidogo dizaini ya kabinti kalikoliwa na Muddy kakiwa kinda ka miaka 9 tu) ukiwauliza kwanini wanafanya mambo ya kikubwa, wanasema wanakwenda na wakati.
 
Kutafuta mwanamke bikra ni ujinga wa kihisia,,,hao wanawake 98% hawajitoi wenyewe bikra zao,, wanatolewa na wanaume,, wanaume ambao akitaka kuoa anatafuta mwenye bikra.
 
Kutafuta mwanamke bikra ni ujinga wa kihisia,,,hao wanawake 98% hawajitoi wenyewe bikra zao,, wanatolewa na wanaume,, wanaume ambao akitaka kuoa anatafuta mwenye bikra.
Bikira ni kiwakilishi cha nidhamu na kujithamini. Niambie mtumba ni kiwakilishi cha nini. Sipo hapa duniani ku-recovery makosa ya watu wengine eti kwa sababu ni wanaume wenzangu. Any day I will prefer a fresh over leftover
 
Mkuu endelea tu kuamini hivyo haina shida.
 
Mkuu endelea tu kuamini hivyo haina shida.
Mimi sipendi kuamini, napenda kuelewa. Ukiniambia Bikira haina umuhimu lazima uje na maelezo yenye mantiki kutetea hoja yako na unambie ni uniqueness gani naweza kuipata kwa mwanamke alietumika lakini nitaikosa kwa mwanamke bikira.

Mfano mimi nasema mwanamke bikira anakuja kwangu na innocence, purity, self discipline, highly maintained womb e.t.c. Sasa na wewe ulitaka kumtetea mwanamke alietumika ni lazima uje na uniquenesses zake
 
Niliowabikiri sio niliowaoa, kwahiyo sielewi kama bikra ndio ilikua inatunza tabia zao, na sitazungumza lolote kwenye mada hii naiona haina tija.
 
Sijasoma maudhui,

Nitatumia kichwa Cha habari kujua ulichoandika !.

Je andiko lako lina maana kwamba mabinti wa Sasa wanazaliwa bila Bikira?

Ama mada inawahusu wasiokuw bodaboda na wauza kiepe?
 
Sijasoma maudhui,

Nitatumia kichwa Cha habari kujua ulichoandika !.

Je andiko lako lina maana kwamba mabinti wa Sasa wanazaliwa bila Bikira?

Ama mada inawahusu wasiokuw bodaboda na wauza kiepe?
Usisahau ni vijana wa library, Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…