Diploma haifanani na 5&6, moja ina Advantage zaidi kuliko nyingineWengine huchaguliwa kujiunga kidato cha tano(advanced secondary education), elimu hizi zina ubora sawa, ama moja ina ubora kuliko nyingine.
Umesema ukweli kabisa Chica, nilitoka fresh from school nikawa naona kabisa wale wa diploma wako nondo zaidi kuzidi sisi wa kidato cha sita, walikuwa wanashuka halafu kuna ile washazoea maisha ya chuo wakati sisi ndio tuaadapt.kwa upande wangu aliyeenda diploma ndiyo ana kitu cha zaidi, yaani alosoma diploma akija kuendelea Degree na yule alotoka Advance wa Diploma anakuwa na maujuzi kibao
Hata mimi nilipitia Advance mkuu, nakubaliana na wewe japo wanasema waliosoma Advance ndio wako vizuri lakini kwa mtazamo wangu naona wale wa diploma wako nondo zaidi. Pia wana uzoefu kama x3 kuzidi sisi wa kidato cha sita.Kwa mm niliepitia advance level na kwenda chuo naona Bora mtu apitie ordinary diploma then atajiendeleza kielimu akiwa kazini na pia kazi zinafanywa na ordinary diploma
But kama tunataka kuwaandaa wanasayansi nguli wa utafiti ni vizuri wakapitia advance coz unachimba mambo kwa undani sana
Hakika mkuu elimu ya diploma naona ina advantage maana hata akimaliza anaweza kuamua kuishia hio diploma na akapata ka-gap kaajira, wakati wa 6 hana advantage hio.Diploma haifanani na 5&6, moja ina Advantage zaidi kuliko nyingine
5&6 haina issue sasa hivi Diploma ndio inayoangaliwa zaidi labda huko mbele wakibadirisha kete ndio 5&6 itakua na maana
Mtoto wako mpeleke Diploma sio 5&6
Ndiyo ipo hivyoUmesema ukweli kabisa Chica, nilitoka fresh from school nikawa naona kabisa wale wa diploma wako nondo zaidi kuzidi sisi wa kidato cha sita, walikuwa wanashuka halafu kuna ile washazoea maisha ya chuo wakati sisi ndio tuaadapt.
KWANINI career za afya aende Advance(form 5 & 6), unaweza kutoa maelezo hapo mkuu.Inategemea na Career kama ni Upande wa Afya nenda 5 and 6 ila Kwa field zingine zote zilizobaki anza na Diploma faida ni nyingi sana. Sana kwanza employer saivi majority Wana ajili watu wa diploma kuliko degree holders ivo nafasi za kazi za Diploma ni nyingi sokoni kuliko degree.
japo wapo wengi bora uende ordinary dipHESHIMA MBELE wakuu.
Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma.
Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi za elimu hizi zina ubora sawa ama kuna moja ina ubora kuliko nyingine.
Kati ya elimu hizo mbili ipi ni nzuri zaidi kwa mtoto, bora asome chuo cha kati au bora asome kidato cha 5 & 6?
Na kwa zama tulizopo ni bora mwanafunzi aende Diploma baada ya kumaliza kidato cha 4 au aende Advance kwa maana ya Kidato cha 5 na 6?
Mfano, ataka kuwa electrical engineer au career inayoendana na hio, aende Advance, ordinary diploma, ama vocational education(VETA)?Unaweza kwenda Advance ,Diploma na hata degree na master n.k
Kwa sasa soko la Ajira limekuwa gumu kidogo hivyo ajaribu kuangalia mambo mbali mbali kutokana na mahitaji yake.
Mfano anataka kuwa Mwalimu wa secondary itapendeza akipe A level
So aangalie mahitaji yake zaidi .
SIDHANI KAMA NI DAWA , nadhani ni nyakati zimebadilika, mahitaji ya soko la ajira yamebadilika, watu wameongezeka, na mambo mengi tu yamebadilika.uzi kama huu ulipostiwa kidogo nyuma, nilishangaa kuona comments nyingi sana zikisema wanaoenda o. diploma ni wale waliofeli, naona dawa imeingia vizuri sasa na watu wamesanuka