Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

Mfano, ataka kuwa electrical engineer au career inayoendana na hio, aende Advance, ordinary diploma, ama vocational education(VETA)?
Hizo fani zinapendeza aanze na diploma then degree if possible.

Ila muhusika aangalie mahitaji yake zaidi mfano watoto wa leo anamaliza form four Ana 13 yrs sasa ukimuweka chuo inakuaje .

Aangalie mambo mbalimbali Kama
Umri
Mahitajji n.k
 
HESHIMA MBELE wakuu.

Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma.

Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi za elimu hizi zina ubora sawa ama kuna moja ina ubora kuliko nyingine.

Kati ya elimu hizo mbili ipi ni nzuri zaidi kwa mtoto, bora asome chuo cha kati au bora asome kidato cha 5 & 6?

Na kwa zama tulizopo ni bora mwanafunzi aende Diploma baada ya kumaliza kidato cha 4 au aende Advance kwa maana ya Kidato cha 5 na 6?
Tanzania tunatakiwa tufumue mfumo wa elimu yetu ili watu wajue ni kwa nini wanakwenda shuleni. Shule zimegeuka vituo vya kukariri badala ya kuelimika. Huyo mtoto anapenda kusoma nini na anataka kufanya kazi gani? Zile zama za kuchagulia watoto wasome nini au kuulizia randomly kama kama unavyojaribu kufanya zinatakiwa kufutwa.
 
Mfumo ushahackiwa huu, mfumo wetu wa elimu ni wa kipuuzi sijapata kuona.
Mfumo unamuandaa mtu kuajiriwa badala ya kuelimika/kujiajiri, wachache hushtukia mfumo na kujiandaa.

Kingine kwanini mfumo utumie kiswahili katika "msingi" kisha utumie kiingereza madaraja ya juu? Msingi ndio hujengwa kwa uimara ili nyumba nzima iwe imara.
 
baba wenu wa taifa alikuwa mpuuzi sana
leo hii: google, apple na MS product dev. hubs zipo hapo Kenya
Huyo jamaa sijawahi mkubali toka nipo mdogo, like what is ujamaa na kujitegemea! katika dunia inayokua kwa kasi wewe unaleta mbanga za kujitegemea na ujamaa sijui ujima.
 
Mfumo ushahackiwa huu, mfumo wetu wa elimu ni wa kipuuzi sijapata kuona.
Mfumo unamuandaa mtu kuajiriwa badala ya kuelimika/kujiajiri, wachache hushtukia mfumo na kujiandaa.

Kingine kwanini mfumo utumie kiswahili katika "msingi" kisha utumie kiingereza madaraja ya juu? Msingi ndio hujengwa kwa uimara ili nyumba nzima iwe imara.
Pokea tano mkuu. Hili la lugha ndiyo sumu kubwa inayoingamaiza Tanzania. Vitu vyote vya kitaalam na kazi zote zinatumia english wakati sisi tunakomaa na kiswahili. Matokeo yake Tanzania imekuwa kama kisiwa cha wajinga na tunaambukizana ujinga wetu. Nilisangaa kweli kweli kugundua kuwa lawyers wetu wengi hawako comfortable kwenye kutumia lugha ya kiingereza kama wakenya. Sisemi wazungumze kama waingereza bali waweze kutetea hoja kwa kutumia points zenye mashiko.
 
Ni ngumu sana kukiuza kiswahili huko dunia ya pili na ya kwanza, au hata hapa hapa kwenye dunia yetu ya tatu. Ni lugha ya mazungumzo tu, lakini katika biashara, afya, elimu, sheria n.k kiswahili kina nafasi ndogo sana, niseme finyu.
 
Huyo jamaa sijawahi mkubali toka nipo mdogo, like what is ujamaa na kujitegemea! katika dunia inayokua kwa kasi wewe unaleta mbanga za kujitegemea na ujamaa sijui ujima.
Mkuu Nyerere (kwangu mimi) ni mmoja ya marais waliofanya vizuri sana Afrika. Mimi naona matatizo matatu makubwa kwenye uongozi wake 1. Kuvuruga elimu yetu na ku-introduce mfumo ambao unatoa watu wasioelimika. 2. Kutumia muda na raslimali nyingi kupigania nchi nyingine na kusahau nchi yake. 2. Siasa za ujamaa na kujitegema alizoasisi siyo mbaya bali tatizo ni watu aliokuwa anajaribu kuwaongoza. Mwafrika na hasa mtanzania siyo mtu wa kuweza kufauata hizo siasa kwa sababu ni mvivu, mwizi na mbinafsi. Nimewahi kuishi nchi za Scandinavia, na maisha yao hayana tofauti kubwa sana na siasa za Nyerere.
 
Umesema ukweli kabisa Chica, nilitoka fresh from school nikawa naona kabisa wale wa diploma wako nondo zaidi kuzidi sisi wa kidato cha sita, walikuwa wanashuka halafu kuna ile washazoea maisha ya chuo wakati sisi ndio tuaadapt.
Shule ya A level ni ya kibingwa sana. Watu wa Diploma huwa na advantage kuwa, baadhi ya vitu vya profession huwa wameshavisoma tayari hivyo kuwa na faida flan darasani ila waliotoka A level still wanacope na kuwakimbiza wazee wa diploma.
 
Naona watu wengi hapa ni kama mmekata tamaa na mnawaza pafupi mno. Wengi mnawaza ajira kupitia diploma. Mimi naona 5&6 ina faida kubwa kwa anayetaka kufika mbali. Ukiwa na 5&6 unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua usome nini. Kwenda Diploma ni kujipiga kitanzi. Diploma ni nzuri kwa vijana wenye uwezo mdogo darasani.
 
Vijana waende VETA
1000037022.jpg
 
Mkuu uongo umeanza lini, ni kweli haya mnayaongea kila siku 😀 jana mliyaongea, juzi, mtondo, mtondo goo, na mtondo wake!
Nakumbuka ni mara ya tatu nakuambia Anza na kusalimia...
Hii ni last warning kesho sitoongea hata sawa itakua ni kukuadabisha sawa
 
Nakumbuka ni mara ya tatu nakuambia Anza na kusalimia...
Hii ni last warning kesho sitoongea hata sawa itakua ni kukuadabisha sawa
Mkuu me kukusalimia hapana, umetangulia kuliona jua lakini mimi limenichoma sana.
Kama unajiweza tuandae pambano tuzichape mtu be vitasa pro max kwa udhamini wa Inasikitisha Promotions ya Mbaga Jr
 
Back
Top Bottom