Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

Kusoma diploma sio shida wala kosa, jambo la kuzingatia ni malengo. Kusoma degree sio shida wala kosa, jambo kuu la kuzingatia ni malengo yako.

Kuhusu waliosoma ngazi fulani (diploma/degree) kuwa na dharau hilo ni suala subjective. Tufanye yote ila....
 
Nenda diploma achana na upumbavu wakuteseka na machand sijui rojas ram mara bs kupoteza muda tu
 
Back
Top Bottom