The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Naona watu wengi hapa ni kama mmekata tamaa na mnawaza pafupi mno. Wengi mnawaza ajira kupitia diploma. Mimi naona 5&6 ina faida kubwa kwa anayetaka kufika mbali. Ukiwa na 5&6 unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua usome nini. Kwenda Diploma ni kujipiga kitanzi. Diploma ni nzuri kwa vijana wenye uwezo mdogo darasani.
Waache waambiane Ujinga huko.
Diploma ni nzuri kwa Technical Courses kwa anae taka kujiajiri sio kwa anae taka kuajiliwq, Mtu unasomaje Diploma ya Nursing, Education, Sijui mifugo unless wewe ni wa kike