Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Uhandisi wanachukua wote Tena vyuo vingi vya degree Wana prefer diplomaHata uhandisi, wengi wanachukuliwa waliotoka 4m 6 na sio hao Diploma.
Uhandisi wanachukua wote Tena vyuo vingi vya degree Wana prefer diplomaHata uhandisi, wengi wanachukuliwa waliotoka 4m 6 na sio hao Diploma.
Mimi mwanangu anataka chuo jaman ila Baba yake anataka aende advance yaani hata sielewi nafanyaje.HESHIMA MBELE wakuu.
Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma.
Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi za elimu hizi zina ubora sawa ama kuna moja ina ubora kuliko nyingine.
Kati ya elimu hizo mbili ipi ni nzuri zaidi kwa mtoto, bora asome chuo cha kati au bora asome kidato cha 5 & 6?
Na kwa zama tulizopo ni bora mwanafunzi aende Diploma baada ya kumaliza kidato cha 4 au aende Advance kwa maana ya Kidato cha 5 na 6?
Ulielewa nilichoandika, nimesema wengi wanachukuliwa waliotoka Advance.Uhandisi wanachukua wote Tena vyuo vingi vya degree Wana prefer diploma
Bado nakuambia sio Kweli Kwani wewe unajua Vyuo vingapi vinafundisha course za uhandisi?Ulielewa nilichoandika, nimesema wengi wanachukuliwa waliotoka Advance.
Em acha uongo wako hapa, vyuo vipi hivyo? Labda Taasisi, ila Vyuo ngazi ya Degree, atakuwa 1St priority ni yule wa advance, usidanganye hapa.
Vingi navijua.Bado nakuambia sio Kweli Kwani wewe unajua Vyuo vingapi vinafundisha course za uhandisi?
Baba yuko sahihi... wewe na mwanao mna akili fupi kama kimba la asubuhi.Mimi mwanangu anataka chuo jaman ila Baba yake anataka aende advance yaani hata sielewi nafanyaje.
Wanaokubishia wengi hawakuwa na uwezo wa kupata CCC ya PCM o - level. Na kundi lingine linalokupinga ni lile lilikosa sifa za kujiunga UDSM coetUlielewa nilichoandika, nimesema wengi wanachukuliwa waliotoka Advance.
Em acha uongo wako hapa, vyuo vipi hivyo? Labda Taasisi, ila Vyuo ngazi ya Degree, atakuwa 1St priority ni yule wa advance, usidanganye hapa.
Sawa wacha Mimi Nikutajie Kwa Uchache vyuo vinavyotoa Degree za uhandisiVingi navijua.
Ni kweli usemayo📌.Uongo, mtoto wako ni kilaza, eti upate 1 ya 10 uende Dip, hata iwe Afya au uhandisi ni uongo.
Toto lako ni kilazaa, tutolee uongo wako hapa.
😂😂😂😂😂
Mkuu hilo ni jambo lingine kabisa.Hata km nakufa Leo mwanangu anajua nini kipo wapi na wapi kuna nini.📌Mfundishe mtoto hizo pesa unazomsomeshea unazipataje acha kumtesa mtoto iv mbona watanzania mnakosa akili? Mi nachukia
Na Hakuna sababu ya msingi ya kwenda Advanced level.Ndugu yangu alimaliza O-Level na alipata Dvs 1 akaenda chuo.Hivi Sasa ana masters yake na ni CPA holder saafi kabisaHakuna sababu za msingi za kukwepa A-level labda ulipigwa woshu hapo O-level.
NdiyooNi kweli usemayo📌.
Lete ushaidi wa vyeti vyake.Vinginevyo utabaki kuwa upotashaji.Na Hakuna sababu ya msingi ya kwenda Advanced level.Ndugu yangu alimaliza O-Level na alipata Dvs 1 akaenda chuo.Hivi Sasa ana masters yake na ni CPA holder saafi kabisa
SawaNdiyoo
We ni Pumbavu wa level ya PHD..Ushahidi wa vyeti nikupe wewe kama nani hv wadhani watu woote ni wapumbavu kama wewe si ndio 👀Lete ushaidi wa vyeti vyake.Vinginevyo utabaki kuwa upotashaji.
Wewe ndio umeongea ukweli shuleni ni sehemu ya kukua kimelimu na kiakili, mtoto wa miaka 18 hadi 20 kumeingiza kwenye ajira ni shida tupu hakuna lolote anaweza kufanya bora akawa shule.Hizo fani zinapendeza aanze na diploma then degree if possible.
Ila muhusika aangalie mahitaji yake zaidi mfano watoto wa leo anamaliza form four Ana 13 yrs sasa ukimuweka chuo inakuaje .
Aangalie mambo mbalimbali Kama
Umri
Mahitajji n.k