Kwa Zari na Diamond tuna ya kujifunza

Kwa Zari na Diamond tuna ya kujifunza

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,595
Reaction score
4,775
Hakuna aliye mkamilifu duniani zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana jifunze kutorudia kosa.

Kila mtenda hutendwa hili liko wazi ona Ivan alivyotendwa na kuumia alipoachwa na Zari leo zamu ya Zari kuumia tena ameumizwa zaidi maana amezalishwa na bado amebwagwa.

Hii haimpi Dai unafuu wowote lazima naye atatendwa na atadhalilishwa na kupelekwa mahakamani na guilty haitaisha moyoni mwake.

Matumizi ya mtandao, hili limekuwa janga sasa mtandaoni sio mahali pa kuanika mapungufu ya ndoa/mahusiano yako na sio mahali pa kuwaringishia watu kiben10 chako.

Usitupie picha zako mapenzi watu waone unapendwa na unapigwa denda vizuri fikiria zile picha za Dai na Zari za kushikana shikana leo zina thamani gani kwao yale matambo kwa snap-chat leo yanageuka kukuzomea.

Wadau toeni mafunzo hapa ili mambo yasiharibike kwa wengine bali wajifunze.
 
ANZA WEWE KUTOA USHAURI KWANZA.AFU MBONA HATA MTAANI WATU WANAACHANA KWA SANA NA WALIKUWA NA MAPENZI TELE?HIYO NI SEHEM YA HISTORIA YAO YA KIMAPENZI NA IMEPITA.
LAZIMA MAISHA YAENDELEE MBELE BAADA YA KILA JAMBO

Hujasoma mafunzo niliyotoa? au sijaeleweka?
 
Hakuna aliye mkamilifu duniani. Zari alimwacha mumewe akakimbilia kwa Dai akidhani huko ndio kuna nafuu lazima tuelewe kila binadamu ana mapungufu ingawa yanatofautiana. Jifunze kutorudia kosa.

Kila mtenda hutendwa. Hili liko wazi ona Ivan alivyotendwa na kuumia alipoachwa na Zari. Leo zamu ya Zari kuumia...tena ameumizwa zaidi maana amezalishwa na bado amebwagwa. Hii haimpi Dai unafuu wowote lazima naye atatendwa na atadhalilishwa na kupelekwa mahakamani na guilty haitaisha moyoni mwake.

Matumizi ya Mtandao, hili limekuwa janga sasa. mtandaoni sio mahali pa kuanika mapungufu ya ndoa/mahusiano yako na sio mahali pa kuwaringishia watu kiben10 chako. Usitupie picha zako mapenzi watu waone unapendwa na unapigwa denda vizuri. Fikiria zile picha za Dai na Zari za kushikana shikana leo zina thamani gani kwao. Yale matambo kwa snap-chat leo yanageuka kukuzomea.

Wadau toeni mafunzo hapa ili mambo yasiharibike kwa wengine bali wajifunze.
Well said, mtenda hutendwa..

Moja ya uzi bora kabisa kwenye jukwaa hili..
 
Mimi sioni kama zari ana wakati mgumu,naona alijipanga vizuri kwa hili jambo kutokea.kwahiyo alisubiri siku maalumu kuweka wazi, kuhusu mapungufu wao ndio wanajuana,tusihukumu upande wowote,ya dai yameonekana wazi! Ya zari je? Huwezi jua ukute dai alikuwa anafanya yote ili kuupoza moyo. Vp kama akiyaanika wazi?
Nahofia tu zari akileta mambo ya law of suit... Kama alivyowahi kutishia.

Yote kwa yote kila mtu apambane na hali ya mahusiano yake! Ni kawaida tu mtu mnayependana kufikia wakati mnashindwa kwenda njia moja.
 
Sawa kabisa ulivyosema. Hapa tunajaribu kumuangalia Dai na Zari kama mfano na si kuwalaumu. Tufanyeje ili tusiwe na hiyo hofu uliyonayo - law of suit
 
Sawa kabisa ulivyosema. Hapa tunajaribu kumuangalia Dai na Zari kama mfano na si kuwalaumu. Tufanyeje ili tusiwe na hiyo hofu uliyonayo - law of suit
Hapo naona kama mtu mmefikia hatua hamuwezi kwenda mbali ,ni vizuri tu mkaachana kwa amani bila ile kuumizana kusaikolojia kwa kufanya mambo wazi wazi ,kama alivyokuwa anafanya dai,naskia wataalamu wa sheria wanajua vizuri kuhusu hiyo" law of suit defamation ".
 
Kulambana kwapa kote kule maskini kuzarau wagumba kote kule kisa mondi ,leo hii ataweka wapi sura yake
 
Ila dai kachemka sana! Mana yule mwanamke anaonyesha ni mkomavu wa fikra. Sasa atarudi kwa hawa kina wema na nani sijui,njaa kali! Watataka pesa ,magari na sifa za hapa na pale,kwa kuoa sidhani, yule mama yupo kamili,mi Audi,bentley imepaki tu home.kichwa imetulia yule. Hata post zake tu ni komavu.
 
Kulambana kwapa kote kule maskini kuzarau wagumba kote kule kisa mondi ,leo hii ataweka wapi sura yake

Ndio tujifunze hapo maana ni balaaa. Tujue haya mambo huenda yakageuka
 
ANZA WEWE KUTOA USHAURI KWANZA.AFU MBONA HATA MTAANI WATU WANAACHANA KWA SANA NA WALIKUWA NA MAPENZI TELE?HIYO NI SEHEM YA HISTORIA YAO YA KIMAPENZI NA IMEPITA.
LAZIMA MAISHA YAENDELEE MBELE BAADA YA KILA JAMBO
Yaan ishu ya mondi kuachana na bi tukinao inataka kufanywa kuuuuubwa wakati huku kitaa ni ishu za kawaida tu...
 
Ila dai kachemka sana! Mana yule mwanamke anaonyesha ni mkomavu wa fikra. Sasa atarudi kwa hawa kina wema na nani sijui,njaa kali! Watataka pesa ,magari na sifa za hapa na pale,kwa kuoa sidhani, yule mama yupo kamili,mi Audi,bentley imepaki tu home.kichwa imetulia yule. Hata post zake tu ni komavu.
Hilo nalo neno. Unajua mtu akiwa nacho hakioni thamani yake. Kuna wanaume wengi wangependa kuwa na mwanamke kama Zali. Kuna wanawake pasua kichwa usiombe kukutana nao
 
Nachojua Ivan na zari walitengana mda before ata hajaanza date na diamond.kipelenge hicho umechemka

Kweli drama za mitandaoni zilikua too much si kuanzia bafuni,kitandani mpaka sebleni.kipengele hichi kwanza walituharibia watoto
Naimani zari atakua amejifunza kutokana na makosa ila kwa dai hii ni asili yake kuanzia kwa wema,penny hadi zari
 
Ila dai kachemka sana! Mana yule mwanamke anaonyesha ni mkomavu wa fikra. Sasa atarudi kwa hawa kina wema na nani sijui,njaa kali! Watataka pesa ,magari na sifa za hapa na pale,kwa kuoa sidhani, yule mama yupo kamili,mi Audi,bentley imepaki tu home.kichwa imetulia yule. Hata post zake tu ni komavu.

Hata umri ni kikongwe........................................
 
Back
Top Bottom