Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

Wew
Wewe ndo umenijibu kidogo, wengine cjaona majibu.
Kwani uzuri wa mke ni makalio??
 
Papuchi zao zinabana sana duduwasha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
"akili za wanaume zipo makalioni kwa wanawake"

nilisoma mahali hiyo sentensi tata
 
Yapende makalio sana yatumiee sanaa ili Siku unapotaka Kuoaa Mungu akusaidie usiangalie Ukubwa wa Makalio ndo iwe sababu ya Kuoaa...!!

MAANA UTAPATA TABU SANAA[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujajiuliza kwanini mademu wengi ...wanapenda wanaume wawatazame...au

Kwanini wanaume wengi huwa hawapaki makalio yao mafuta? Maswali haya ila nimagumu.....daah[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana mkuu, sijui why huwa tunasahau yan dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushetani unawasumbua tu wanatufanya wanawake hatuwi comfortable kutuangalia angalia huko nyuma. In short wanakera

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana cariha. siyo hivyo kwa wanawake wote. Nimeshawahi kuwaona baadhi wanapenda sana kuangaliwa makalio yao yanavyotikisika tena wengine huongeza manjonjo.
 
Imesemekana kwamba wanaume wanapenda sana makalio makubwa. Je, ni kweli na kwanini?

Imani maarufu
Inaaminika kuwa wanawake walio na muundo wa mgongo uliopinda wanaweza kusawazisha uzito wao kwenye viuno wakati wa ujauzito. Inafaa zaidi wakati wa ujauzito na husababisha majeruhi machache ya mgongo. Wanaume wanapendelea kuwa na wanawake ambao wana uwezo bora wa kuzaa watoto.

Utafiti wa kisayansi
Utafiti katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin umeona hivi majuzi kwamba ingawa inafikiriwa kuwa wanaume wanavutiwa sana na makalio makubwa, wao huvutwa zaidi kuelekea mkunjo wa mgongo unaoonyesha picha ya kitako chenye umbo zuri.

Utafiti huo ulijumuisha wanaume 100, wenye kati ya umri wa miaka 17 hadi 34 ambao waliulizwa kukadiria mvuto wa mwanamke kulingana na mitazamo yao. Kila picha ilikuwa imebadilishwa kwenye uti wa mgongo wa chini ili kuikunja kwa pembe tofauti. Ilibainika kuwa wanaume walipendelea wakati uti wa mgongo wa chini wa kijipinda kwa pembe ya digrii 45.

Utafiti kupitia maumbo tofauti ya kitako
Watafiti walifanya utafiti mwingine ambao ulibaini kuwa karibu wanaume 200 walivutiwa na wanawake ambao kupindika kwa uti wa mgongo ulikuwa digrii 45 au karibu na hiyo, bila kujali saizi ya kitako chao.

Hii ilithibitisha kwamba wanaume wanapendelea wanawake ambao wana pindo maalum la uti wa mgongo, na sio saizi ya kitako chao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…