imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nani asiyekuwa na tamaa ya fedha acha kusingizia Wachaga.Kwenye hili sakata CDF Angekuwa mchaga nchi ingetumbukia shimoni wana tamaa sana ya hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani asiyekuwa na tamaa ya fedha acha kusingizia Wachaga.Kwenye hili sakata CDF Angekuwa mchaga nchi ingetumbukia shimoni wana tamaa sana ya hela
Tutajie hayo majeshi ya ulinzi. Kama hujui tuliaCDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi majeshi ya usalama yana wakuu wao
Hahaha sasa kukurupuka kwangu ni vipi hapo mkuu?! Nimesema kama hujui tulia meaning utajulishwa na si kukuprovoke as you interprated it.Acha kukurupuka mkuu
Tanzania wanaposema majeshi ya ulinzi wanamaanisha majeshi ya Nchi Kavu, Majini, Anga, JKT na MMJ ambazo ndiyo kamandi tano za JWTZ
Wanaposema majeshi ya usalama maana yake ni Polisi, Magereza, Uhamiaji na Zimamoto, hayo yana wakuu wao hayako chini ya JWTZ hivyo cdf siyo mkuu wao
Kweli kabisa kiongozi anayejiamini hahitaji sifa za ajabu ajabu !! Chema chajiuza !!Kiongozi ambaye ni mfano wa kuigwa, haitaji sifa za kijinga wala umaarufu. Nampongeza kwa huseshimu katiba na kuitumikia jamuhuri. .
Kama ni mkuu wa majeshi yote mbona sijawahi kumuona ametembelea polisi au magereza?CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi majeshi ya usalama yana wakuu wao
Mkuu Liwagu nilipoandika uzi huu CDF wetu alikuwa bado ni Gen Mabeyo. Labda kwa sasa ndo ningemwita CDF mstaafu baada ya huyu mpya kuapishwa. Pia kuhusu pongezi na ushauri kwa CDF mpya, jana niliandika thread humu ya kumpongeza na kumshauri CDF wetu mteule Gen Jacob John Mkunda, lakini kama ilivyo ada kwa baadhi ya mods kutopenda baadhi ya member kuwasilisha mawazo yao jukwaani. Thread ile haikuchukua hata dakika dakika ikahamishiwa kwa mtu ambae wanamjua wao bila sababu za msingi na kuificha kule. Na mimi nilipoona vile nikajua kuwa mods hawakupenda kuona naleta thread ili watu wengine wachangie ndo maana wakaificha kule. So nikaamua kuifuta moja kwa moja thread yang ili wale walifanya kitendo kile wafurahi vizuri.Ungesema kwaheri aliekuwa CDF wetu.
Hongera kwa cdf mstaafu na pongezi kwa cdf mpya pia.
Kazi iendelee.
Ni jambo jema.
Exactly mkuu 👍Acha ukabila kila kabila ina haki ya kuwa na CDF
Hii sio hoja mkuu, hata waziri mkuu hajawahi kutembelea wizara kibao, lakini haiondoi ukweli kuwa yeye ndio mkuu wa mawaziri wote.Kama ni mkuu wa majeshi yote mbona sijawahi kumuona ametembelea polisi au magereza?
Kwani amekufa? atateuliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi fulani fulani
Ndio anavyoitwa hivyo au anaitwa mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama?CDF ni mkuu wa majeshi ya ulinzi majeshi ya usalama yana wakuu wao
Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Ki ukweli taifa na dunia kwa ujumla tutakukumbuka kwa utendaji wako wa kazi mzuri uliotukuka, tutakukumbuka kwa usimamiaji wako wa sheria jeshini na kutumia cheo chao kuilinda na kuisimamia katiba yetu, tutakukumbuka kwa kuondoka ukiiwacha nchi yetu ikiwa katika mikono salama, lakini pia utakumbukwa kwa kutii mamlaka ya raisi kwa mujibu wa katiba na sheria zetu za nchi.
Unakwenda kuwa miongoni mwa viongozi wa jeshi waliokuwa na walio bora muda wote. Najua nina mengi ya kuandika kuhusu sifa na weledi wako mkubwa ulioonesha katika keshi letu, ila kutokana na muda naomba niishie hapa.
Asanteni.
Tanzania tuna bahati. Toka tupate uhuru wetu, hatujawahi kuwa na cdf wa hovyo. Nakutakia mapumziko mema General.Kwanza kabisa napenda kukusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salam zang, natumia haki yang ya kikatiba kama mtanzania kukupongeza kwa kazi kubwa uliyoifanya kama kiongozi wetu mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama.
Ki ukweli taifa na dunia kwa ujumla tutakukumbuka kwa utendaji wako wa kazi mzuri uliotukuka, tutakukumbuka kwa usimamiaji wako wa sheria jeshini na kutumia cheo chao kuilinda na kuisimamia katiba yetu, tutakukumbuka kwa kuondoka ukiiwacha nchi yetu ikiwa katika mikono salama, lakini pia utakumbukwa kwa kutii mamlaka ya raisi kwa mujibu wa katiba na sheria zetu za nchi.
Unakwenda kuwa miongoni mwa viongozi wa jeshi waliokuwa na walio bora muda wote. Najua nina mengi ya kuandika kuhusu sifa na weledi wako mkubwa ulioonesha katika keshi letu, ila kutokana na muda naomba niishie hapa.
Asanteni.
Naelewa ulichoandika mkuu, lkn nahisi haukusoma vizuri uzi wangu. Ukisoma kwa makini kuna sehem utakuta nimeandika kuwa anakwenda kuwa miongoni mwa CDF bora wa nchi yetu. Neno miongoni linamaanisha kuwa kuna wengine pia waliomtangulia ambao wana sifa na ubora unaofanana na wake. Pia kingine kuna msema unasema "mla mla leo mla jana kala nini" kwa vile anaestaafu leo ni huyu ndio maana nimemuandikia uzi wake wa kumpongeza kwa mema na mazuri aliyofanya kwa jeshi letu. I hope umenielewa!Maneno mengi tu , Sasa elewa mtangulizi wake alifanya KAZI kweli kweli , ametimiza majukum yake KWa mjibu wa viapo vyao basi ,
Nikionacho watangulizi wake hawakuwai Kutana na janga kubwa la kitaifa Kama huyu , na sio yeye tu Kama ni kile msemacho jua walikuepo wengi ila Mambo yakawa sawa,
Binafsi nasema hongera zake KWa kustaafu, ila yote aliyoyatenda ni KWa mjibu wa katiba na SHERIA , hakuna jipya ,
Obvious mkuu 👍Tanzania tuna bahati. Toka tupate uhuru wetu, hatujawahi kuwa na cdf wa hovyo. Nakutakia mapumziko mema General.
Ni hoja maana PM anatoa maagizo kwenye Wizara mbalimbali lakini yeye hajawahi kutoa maagizo hata uhamiaji, kubali kuna shida hap.Hii sio hoja mkuu, hata waziri mkuu hajawahi kutembelea wizara kibao, lakini haiondoi ukweli kuwa yeye ndio mkuu wa mawaziri wote.
Huyu alimsaidia maza kuwa Rais vinginevyo bila huyu jamaa asingekuwa, Mwamunyange ni Mwenyekiti wijui wa bodi ya nini nimesahauMbona Mwamunyange hajateuliwa?