Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
😂😂😂 Aisee JF ni kijiwe original cha kutolea stress.Ndio Orijinoo sio hao wanaojifichia kwenye Usukuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Aisee JF ni kijiwe original cha kutolea stress.Ndio Orijinoo sio hao wanaojifichia kwenye Usukuma.
Mkuu nikushuku Sana ,ila swali Sasa huyu amestahafu au , mjombaa nchi ni ya ajabu sana tutafika mbinguni tumechoka Sana ,unakimbia kushoto umapokea kulia, ujinga mtupuManeno mengi tu , Sasa elewa mtangulizi wake alifanya KAZI kweli kweli , ametimiza majukum yake KWa mjibu wa viapo vyao basi ,
Nikionacho watangulizi wake hawakuwai Kutana na janga kubwa la kitaifa Kama huyu , na sio yeye tu Kama ni kile msemacho jua walikuepo wengi ila Mambo yakawa sawa,
Binafsi nasema hongera zake KWa kustaafu, ila yote aliyoyatenda ni KWa mjibu wa katiba na SHERIA , hakuna jipya ,
Amiin kwa niaba yake 🙏Kila la kheri zake...