Kwaheri CDF Jenerali Mabeyo

Hahaha sasa kukurupuka kwangu ni vipi hapo mkuu?! Nimesema kama hujui tulia meaning utajulishwa na si kukuprovoke as you interprated it.
All in all umejibu vyema
 
Ungesema kwaheri aliekuwa CDF wetu.

Hongera kwa cdf mstaafu na pongezi kwa cdf mpya pia.
Kazi iendelee.
Mkuu Liwagu nilipoandika uzi huu CDF wetu alikuwa bado ni Gen Mabeyo. Labda kwa sasa ndo ningemwita CDF mstaafu baada ya huyu mpya kuapishwa. Pia kuhusu pongezi na ushauri kwa CDF mpya, jana niliandika thread humu ya kumpongeza na kumshauri CDF wetu mteule Gen Jacob John Mkunda, lakini kama ilivyo ada kwa baadhi ya mods kutopenda baadhi ya member kuwasilisha mawazo yao jukwaani. Thread ile haikuchukua hata dakika dakika ikahamishiwa kwa mtu ambae wanamjua wao bila sababu za msingi na kuificha kule. Na mimi nilipoona vile nikajua kuwa mods hawakupenda kuona naleta thread ili watu wengine wachangie ndo maana wakaificha kule. So nikaamua kuifuta moja kwa moja thread yang ili wale walifanya kitendo kile wafurahi vizuri.
 
Maneno mengi tu , Sasa elewa mtangulizi wake alifanya KAZI kweli kweli , ametimiza majukum yake KWa mjibu wa viapo vyao basi ,
Nikionacho watangulizi wake hawakuwai Kutana na janga kubwa la kitaifa Kama huyu , na sio yeye tu Kama ni kile msemacho jua walikuepo wengi ila Mambo yakawa sawa,

Binafsi nasema hongera zake KWa kustaafu, ila yote aliyoyatenda ni KWa mjibu wa katiba na SHERIA , hakuna jipya ,
 
Tanzania tuna bahati. Toka tupate uhuru wetu, hatujawahi kuwa na cdf wa hovyo. Nakutakia mapumziko mema General.
 
Naelewa ulichoandika mkuu, lkn nahisi haukusoma vizuri uzi wangu. Ukisoma kwa makini kuna sehem utakuta nimeandika kuwa anakwenda kuwa miongoni mwa CDF bora wa nchi yetu. Neno miongoni linamaanisha kuwa kuna wengine pia waliomtangulia ambao wana sifa na ubora unaofanana na wake. Pia kingine kuna msema unasema "mla mla leo mla jana kala nini" kwa vile anaestaafu leo ni huyu ndio maana nimemuandikia uzi wake wa kumpongeza kwa mema na mazuri aliyofanya kwa jeshi letu. I hope umenielewa!
 
Hii sio hoja mkuu, hata waziri mkuu hajawahi kutembelea wizara kibao, lakini haiondoi ukweli kuwa yeye ndio mkuu wa mawaziri wote.
Ni hoja maana PM anatoa maagizo kwenye Wizara mbalimbali lakini yeye hajawahi kutoa maagizo hata uhamiaji, kubali kuna shida hap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…