Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #61
Ok mkuu hapa ni kama vile nimekuelewa kiasi chake.Ni waziri mkuu gani huyo ambaye kuanzia anapata hiko cheo hadi anakiacha asiwahi kutembelea wizara hata moja
Na hata ikitokea hiyo siyo hoja sababu nchi yetu inamtambua waziri mkuu kama mkuu wa wizara zote
CDF anatambulika kama chief of defense forces (majeshi ya ulinzi) siyo na security forces (majeshi ya usalama)
Je ulishawahi kujiuliza hicho nilichokueleza? Kuna wabunge, wakuu wa Wilaya hawajawahi kufanya ziara kwenye kata za majimbo/Wilaya zao. Hii haimaanishi hizo kata haziko chini yake.Sasa kwanini hafanyi ziara hata siku moja uhamiaji, polisi au magereza?
Ndio maana nilikuuliza jeshi linapoona kuna kundi, chama au mgombea fulani anataka kuhatarisha usalama wa nchi limuache? Mbona hatukuona Tanga, Mbeya, Kigoma, Dar, Kilimanjaro, Kagera na sehem nyingine watu wakipigwa na jeshi? Burundi, Kongo, na maeneo mengine ya vita mambo yalianza kimya kimya kama Zanzibar huku vyombo vya ulinzi na usalama viki relax. Mwisho wa siku jeshi likaja kushtukia nchi ishaingia vitani na matokeo yake kuwadhibiti wapiganaji ikawa shida. Kwahiyo jeshi letu kamwe haliwezi kupuuzia vurugu ambazo baadae zinaweza kuja kuleta vita.Video za wanajeshi kupiga raia zipo na haziongopi. Mabeyo hasafishiki
Usiongee kirahi rahisi namna hiyo!! CDF angeamua tofauti mambo yangekuwa tofautiHapana hakumsaidia mkuu, bali alifanya kazi yake iliyomuweka pale kwa mujibu wa sheria. Kutii mamlaka ya raisi, kuilinda na kuisimamia katiba ni moja ya majukumu yake kama mkuu wa jeshi, hata ingetokea wakati wa Mwamunyange pia angefanya hivyo.
Hizo sherehe ni za kijeshi na JW ndyo jeshi mama ndyo maana unaona kuna parade za jeshi jwtz wanatoa viongozi wa paradeUlishawahi kujiuliza ni kwa nini kwenye sherehe za kitaifa mfano sherehe za uhuru Rais ambaye pia ni amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama huingia uwanjani kwenye gari la wazi akiwa ameambatana na CDF, hukagua gwaride la Majeshi ya ulinzi na usalama akiwa na CDF na hata anapoketi jukwaani pembeni yake anakaa CDF? Afu jiulize pia kwanini siyo IGP, mkuu wa magereza,nk?
Na hapakuwa na sababu ya yeye kuamua tofauti. Kwa vile anafahamu kuwa jeshi letu limekuwa likiendeshwa au kuongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.Usiongee kirahi rahisi namna hiyo!! CDF angeamua tofauti mambo yangekuwa tofauti
Nyie ndio mnasababisha ajali na kuuwa innocentNaadika huku nikiwa busy kwa gari, kwahiyo ni ngumu kufanya hivyo unavyotaka. Mods naomba mnisaidie kirekebusha. Shukran mkuu kwa uchangiaji wako
Acha upuuzi miaka yote hawafanyi au hawajahi kufanya hata kwenye kata moja?Je ulishawahi kujiuliza hicho nilichokueleza? Kuna wabunge, wakuu wa Wilaya hawajawahi kufanya ziara kwenye kata za majimbo/Wilaya zao. Hii haimaanishi hizo kata haziko chini yake.
Kweli mkuu hakuna binadam hata mmoja asiekuwa na tamaa ya pesa. Sema ndo hivyo, siku zote mti wenye matuda mazuri lazima upigwe mawe.Nani asiyekuwa na tamaa ya fedha acha kusingizia Wachaga.
Huyo mungine nahisi bado anaendelea kutafutiwa ubalozi au mkoa fulani wa kumuweka.Huyu naye nyota yake bado iko juu.
Kwani yule mtangulizi wake (the man I like) hakuwa mweledi ?
Na tungejuta kuishi TzBashiru na Polepole walikuwa wakizunguka huku na kule na kutumia kila mbinu ili Katiba ivunjwe lakini Mabeyo akapiga stop.
Bila Mabeyo hii Nchi ingekuwa chini ya Wahutu waliotuvalia ngozi za Kisukuma.
Hahaha.. Japo inawezekana kiongozi aliweka mchango wake ktk utawala huu kwa mujibu wa katiba, lkn naamini maamuzi hayakuwa ya kwake peke yake. Kwa vile lile lilikuwa jambo linalohusu ulinzi wa katiba yetu isinajisiwe (kama unavyosema kwamb ilitaka kufanyika ndivyo sivyo) basi ni wazi kuwa kulikuwa na majeneral, na viongozi wengine wakubwa wa jeshi waliochangia kufanya hali iwe sawa. Kumbuka hata mw Nyerere ilishindikana kumpindua kwa sababu katika uongozi wa juu kuna wale waliotaka kufanya mapinduzi na kuna wale waliokataa kufanyika mapinduzi. So usifikiri jambo nyeti la namna hiyo linachukuliwa uamuzi na mtu mmoja tu eti kwa sababu ni kiongozi, no kwa mfumo wa jeshi la Tanzania lililoshibishwa damu ya uzalendo kwa nchi yao, kwa raisi wao na kwa katiba yao, kamwe haiwezekani. Ni lazima uwashirikishe na wengine afu wao wakubali au wakatae. Ukifanya jambo ambalo haliendani na viapo vyao kivyako vyako na ukashtukiwa, huenda wale ma general unaowaongoza wakakugeuzia kibao na kuweka mtu wao wenyew anaowafaa. Hii ni Tanzania yenye jeshi na wanajeshi makini ndugu yang, kamwe usiifananishe na Myanmar au Sudan.Huyu alimsaidia maza kuwa Rais vinginevyo bila huyu jamaa asingekuwa, Mwamunyange ni Mwenyekiti wijui wa bodi ya nini nimesahau
Ana mchango wake mkubwa sn kwenye hilo mkuuHahaha.. Japo inawezekana kiongozi aliweka mchango wake ktk utawala huu kwa mujibu wa katiba, lkn naamini maamuzi hayakuwa ya kwake peke yake. Kwa vile lile lilikuwa jambo linalohusu ulinzi wa katiba yetu isinajisiwe (kama unavyosema kwamb ilitaka kufanyika ndivyo sivyo) basi ni wazi kuwa kulikuwa na majeneral, na viongozi wengine wakubwa wa jeshi waliochangia kufanya hali iwe sawa. Kumbuka hata mw Nyerere ilishindikana kumpindua kwa sababu katika uongozi wa juu kuna wale waliotaka kufanya mapinduzi na kuna wale waliokataa kufanyika mapinduzi. So usifikiri jambo nyeti la namna hiyo linachukuliwa uamuzi na mtu mmoja tu eti kwa sababu ni kiongozi, no kwa mfumo wa jeshi la Tanzania lililoshibishwa damu ya uzalendo kwa nchi yao, kwa raisi wao na kwa katiba yao, kamwe haiwezekani. Ni lazima uwashirikishe na wengine afu wao wakubali au wakatae. Ukifanya jambo ambalo haliendani na viapo vyao kivyako vyako na ukashtukiwa, huenda wale ma general unaowaongoza wakakugeuzia kibao na kuweka mtu wao wenyew anaowafaa. Hii ni Tanzania yenye jeshi na wanajeshi makini ndugu yang, kamwe usiifananishe na Myanmar au Sudan.
Kwann mkuu?Kaeni Wote Kwa Kutulia
Yah kwa hili mchango wake ulikuwa mkubwa sana. Inaweza kuwa 70% ya maamuzi ni ya kwake.Ana mchango wake mkubwa sn kwenye hilo mkuu
Kweli tupuYah kwa hili mchango wake ulikuwa mkubwa sana. Inaweza kuwa 70% ya maamuzi ni ya kwake.
Mabeyo nae ni msukuma, unajua hilo?Bashiru na Polepole walikuwa wakizunguka huku na kule na kutumia kila mbinu ili Katiba ivunjwe lakini Mabeyo akapiga stop.
Bila Mabeyo hii Nchi ingekuwa chini ya Wahutu waliotuvalia ngozi za Kisukuma.
Ndio Orijinoo sio hao wanaojifichia kwenye Usukuma.Mabeyo nae ni msukuma, unajua hilo?