Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Kama unapenda music uwe unaenda Rainbow Malaika Na Weekend royal village
Rainbow nilikuwa jana.
Malaika nilienda siku ya ufunguzi mwezi uliopita.
Royal nilienda walipokuja Fiesta.
Ila Malaika mbona kuna kakaz wengi?
Wanawake wa kuhesabu aisee.
Ila Rainbow kiboko
 
Ndio aaaah kweli safar za moto nilimsikia anasema za shingo nene[emoji23][emoji23]
Hahahhhaha
Ndo zenyewe Demiss.
Zamani mwanamke akinywa safari anaonekana mgumu, ila sahv tunabanana humohumo.
 
Ile kauli ya mkuu atakaebaki dar ni mwanaume inazidi kujidhihirisha.
Sio tunahama kwa ajili ya kuogopa maisha, tunahama kwa ajili ya kazi.
Mshaanza porojo zenu wanazengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…