Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Cute Leo mbona warembo wa jf wanahangaika demiss kapewa talaka
Madame b anahama
Miss natafuta hajanunuliwa zawadi kulikoni??

Nasubiria lako
We acha tu.
Nahama jiji...
Unajua ukiona maisha ya mume yanakubana, unayavulia mbaliiiiii
 


Karibu kanda ya kati mkuu, tupo poa huku. Nakupongeza kwa kujitahidi kuondokana na ujinga wa Dar na huenda sasa baada ya miezi utaanza kuwa jasiri na utaelewa kwanini wanaume wa Dar wanachekwa na jamii hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…