Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

Natamani nami ningekuwa katika nafasi ya Kuisaidia Inchi yangu, Sijifananishi na Magu lkniiii, lakiniii, lakiniiiii , khiiiiiii !!! Kheeee !!!
 
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili.

Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda uwaambie jamani eh ngojeni kidogo huu mkataba sijauelewa

View attachment 1732047

Picha inaonyesha yote, kama ni ujambazi unafanyika hapo hadi wengine wanatamani wamsaidie kusaini.

Rest in peace JOHN P. MAGUFULI.
Ukurasa wa pombe tumeufunika. Tupo ukurasa wa suluhu sasa!
 
Wenye laana huwadharau mama zao... Honesty umevurugwa nipo kwenye maombi nawe ntakuombea utakaswe.
Usitarajie kamwe kama ntamtusi mama yako kwa ujinga wako. Ntamweshimu inatosha namuombea maisha marefu.

Abarikiwe aliyekuumba na aliyepewa heshima ya kukuleta duniani!
 
Ukurasa wa pombe tumeufunika. Tupo ukurasa wa suluhu sasa!
2722009_Rais_Samia.jpg
 
Ni ujinga na upunguani kusifia kiongozi aliekua anaongoza bila kuandika katiba ambayo itasimamia misingi yote aliyoanzisha.
Sasa watu wanashangilia vitu ambavyo vitaweza kurudi adi 0...
Achaneni na tabia ya kushangilia watu wanaopita ..shangilieni mifumo imara inayoandaa watu na vitu vinavyojiendeleza na kujisimamia. Sisi ngoja tuendelee kupiga pesa naona akili zenu bado zinawaza mambo ya kale.
 
Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili.

Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda uwaambie jamani eh ngojeni kidogo huu mkataba sijauelewa

View attachment 1732047

Picha inaonyesha yote, kama ni ujambazi unafanyika hapo hadi wengine wanatamani wamsaidie kusaini.

Rest in peace JOHN P. MAGUFULI.
Haya mambo zito kabwe aliyasema bungeni wabunge wa ccm wakamzomea, sasa naanza kuamini ccm aliyekuwa na uelewa wa mambo alikuwa mmoja tu na ALLAH kampenda
 
Nimeelewa kuwa kichwa cha habari ni tofauti na picha.
Ukianza kufuatilia heading kisa iendane na unavyotaka, asilimia kubwa ya mada humu JF zitaondolewa, heading ndiyo inakufanya hata wewe umechangia japo haulipwi ila wewe ndiye unailipa JF.
 
Ukianza kufuatilia heading kisa iendane na unavyotaka, asilimia kubwa ya mada humu JF zitaondolewa, heading ndiyo inakufanya hata wewe umechangia japo haulipwi ila wewe ndiye unailipa JF.
Siyo ninavyotaka, ila iendane na maudhui ya habari unayochangia. In this case, heading iendane na picha. Sikuchangia kwa lengo la kubishana, ila kwa sababu sikuelewa na hadi sasa sijaelewa mantiki yake.
 
Back
Top Bottom