Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukurasa wa pombe tumeufunika. Tupo ukurasa wa suluhu sasa!Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili.
Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda uwaambie jamani eh ngojeni kidogo huu mkataba sijauelewa
View attachment 1732047
Picha inaonyesha yote, kama ni ujambazi unafanyika hapo hadi wengine wanatamani wamsaidie kusaini.
Rest in peace JOHN P. MAGUFULI.
Kusema ukweli kutoka ndani ya moyo wangu mimi ni zaidi ya Jiwe. Nikiupata urais hii nchi itanishukuru.
Nimecheka hatariWewe utauza nchi kwa wadogo zake na khumbu.
Wenye laana huwadharau mama zao... Honesty umevurugwa nipo kwenye maombi nawe ntakuombea utakaswe.
Usitarajie kamwe kama ntamtusi mama yako kwa ujinga wako. Ntamweshimu inatosha namuombea maisha marefu.
Wanataka kuchukua bandari!! wachina sio kabisa!!Haelewi kitu, alikuwa hajui Dunia inavyoenda..China ni adversary wa West lakini haimaanishi ndio rafiki wa Africa, waulize Kenya
Nimeelewa kuwa kichwa cha habari ni tofauti na picha.Mpaka kuweka comment yako hapa umeelewa topic.
Haya mambo zito kabwe aliyasema bungeni wabunge wa ccm wakamzomea, sasa naanza kuamini ccm aliyekuwa na uelewa wa mambo alikuwa mmoja tu na ALLAH kampendaSiku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili.
Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda uwaambie jamani eh ngojeni kidogo huu mkataba sijauelewa
View attachment 1732047
Picha inaonyesha yote, kama ni ujambazi unafanyika hapo hadi wengine wanatamani wamsaidie kusaini.
Rest in peace JOHN P. MAGUFULI.
Ukianza kufuatilia heading kisa iendane na unavyotaka, asilimia kubwa ya mada humu JF zitaondolewa, heading ndiyo inakufanya hata wewe umechangia japo haulipwi ila wewe ndiye unailipa JF.Nimeelewa kuwa kichwa cha habari ni tofauti na picha.
Siyo ninavyotaka, ila iendane na maudhui ya habari unayochangia. In this case, heading iendane na picha. Sikuchangia kwa lengo la kubishana, ila kwa sababu sikuelewa na hadi sasa sijaelewa mantiki yake.Ukianza kufuatilia heading kisa iendane na unavyotaka, asilimia kubwa ya mada humu JF zitaondolewa, heading ndiyo inakufanya hata wewe umechangia japo haulipwi ila wewe ndiye unailipa JF.