Kwaheri TTCL, kila lenye mwanzo halikosi mwisho

Nini hasa kinafanya TTCL isiendeshwe kwa faida kulinganisha na makampuni mengine ya simu!? Ni kukosa uongozi, kushindwa kufanya maamuzi ya kibiashara kwa wakati, wafanyakazi wasio na weledi au!?
Piga ua Kuna wazee wengi TTCL...na wale vyeti vizuri wasio na ubunifu Wala kutaka kuumiza vichwa, mradi mshahara unaingia.
 
Itakuwa ama Bharti Airtel wataka warudi au wamerudi kwa jina jingine au ameandaliwa mnunuzi mpya.

Suala ni kumiliki mali za nchi kama TTCL ambapo katika nchi zote duniani mashirika haya hutasikia yakimilikiwa na watu binafsi kama inavyotokea hapa kwetu Tanzania.

Ya mwisho yote haya.

Na kama suala ni kuuza mali za TTCL basi hata za ATCL ziuzwe pia maana mashirika yote haya yapo kwaajili ya kutoa huduma kwasababu kuna uhitaji na sio kwasababu kuna faida!

Serekali haitakiwi kufanya biashara ila inapaswa kuwalea/kuwajenga, kuwaandalia na kuwaboreshea mazingira wafanyabiashara watanzania(raia) kwa manufaa ya ustawi wa taifa letu.
 
Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.

Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.

Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?

Tunaitakia kila la heri.
Kuna kampuni itawanunua tu, hiyo ni fursa kwa makampuni mengine. Mfano Zantel wateja wale wote wakauzwa kwa tigo.
 
Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.

Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.

Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?

Tunaitakia kila la heri.
Hivi kuna simu za viganjani za TTCL?! Sijui zitakuwaje, zinapiga kweli.
 
Na kama suala ni kuuza mali za TTCL basi hata za ATCL ziuzwe pia maana mashirika yote haya yapo kwaajili ya kutoa huduma kwasababu kuna uhitaji na sio kwasababu kuna faida!

Serekali haitakiwi kufanya biashara ila inapaswa kuwalea/kuwajenga, kuwaandalia na kuwaboreshea mazingira wafanyabiashara watanzania(raia) kwa manufaa ya ustawi wa taifa letu.
Uhitaji ni mkubwa sana na Tanzania huduma ya internet iko na bei juu sana kama hakuna ushindani lazima wateja kutumia tigo, halotel, vodacom na airtel watake wasitake na hao ni majizi wakubwa kupitia huduma zao.
 
Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.

Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.

Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?

Tunaitakia kila la heri.
Mwendazake aliiharibu sana hii nchi
 
Uhitaji ni mkubwa sana na Tanzania huduma ya internet iko na bei juu sana kama hakuna ushindani lazima wateja kutumia tigo, halotel, vodacom na airtel watake wasitake na hao ni majizi wakubwa kupitia huduma zao.
Huo unaouita uizi una baraka zote za Serekali kwamaana wanachangia sana kampeni za uchaguzi na wapo tayari kuwauza wateja wao wakati wowote ule serekali itakapowahitaji rejea kuvuja kwa mawasiliano ya simu ya wenye CCM wakati wa magufuli

Snowden anasema makampuni kama google, facebook kwa sasa meta etc hayafurukuti kwa serekali,
Huko China tunajua matajiri wote wanafuata 'Order ya chama tawala'

Kwahiyo ni jambo la kawaida, ukiwa mfanyabiashara mtiifu kwa mtawala basi utavuna kuliko maelezo
 
Baada ya ripoti ya CAG Kutolewa , na kueleza madudu ya TTCL , Rais Samia Hassan amependekeza shirika hilo la umma libaki kusimamia mkongo wa Taifa tu , lachane na biashara ya mawasiliano ya simu.

Kwa kauli hii ya Rais bila shaka huu ni uamuzi kamili wa kuizika rasmi TTCL kwenye simu za viganjani.

Sasa sijui hizi line zetu itakuwaje yaani , tutafidiwa chochote au ndio vile tena?

Tunaitakia kila la heri.
Mkuu hiyo line uliinunua kiasi gani mpaka utake fidia, buku au zaidi?
 
Back
Top Bottom